Scotland Independence

Scotland Independence

Safari hii CCM ukikataa kuachia kiti cha Uraisi Zanzibar Referendum iko wazi
Hatuwezi kukaa tunawatesa ndugu zetu wa visiwani miaka nenda miaka rurudi
 
Sasa kama Zanzibar ndio itakayopoteza weye na wenyewe wakiwa wapo tayari na hilo wewe kinachokusumbua nini?

Umeona eeh, hawa ni wale ambao wakidaiwa talaka na wake zao utasikia utapata shida sana wewe ukiondoka, ihali anamnyanyapaa mke wake katika ndoa.


Wacha tupate shida kama tutawaomba, kwa sasa hatufaidiki na muungano, kila kitokacho Zanzibar kinalipiwa kodi tanganyika, ni nani atakae pata shida ?

Hata hao samaki wanao uzwa Dar kutoka Zanzibar ni faida kwenu kwani wazanzibari ndio wavuvi na wakulima wa vitunguu, ni nani anae faidika kama si mtumiaji?
 
Zanzibar wajitoe tu manake walalamishi sana wakati kwenye ajira za wizara za muungano wanapewa nafasi wakati huo huo wazanzibari wengine wanaomba kupitia bara na wanapata. Unakuta kama ajira mia 500 wanzibari ni 80 jambo ambalo sio fare kwani idadi yao ni 0.5% ya watanzania wote. Wakati huo ajira wanapata zaidi ya 1%

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndipo munapoambiwa muweke Serekali tatu kumaliza hayo matatizo munakataa
 
Tanzania itabaki kuwa moja

Kama mnamependa sana sultan mfuateni Oman

Zanzibar sio Nchi ya machotara hizbu
Safari hii CCM ukikataa kuachia kiti cha Uraisi Zanzibar Referendum iko wazi
Haruwezi kukaa tunawatesa ndugu zetu wa visiwani miaka nenda miaka rurudi
 
1576777341582.png
 
Hivi siku Zanzibar ikaamua kujitenga kutoka Tanganyika na kuwa nchi inayojitegemea kwa kila kitu, ni nani atakayepoteza zaidi?

Au ndiyo mtaanza tena kudai fidia ya mabilioni kwa kisingizio Tanganyika iliwadhulumu tangu mlipoungana mwaka 1964? Ila Wazanzibar wakati fulani mpunguze ulalamishi aisee! Mbona mnafaidika zaidi na Muungano kuliko hata sisi Watanganyika!

Binafsi naunga mkono hoja ya kupunguza au kuondoa kabisa kile kinachoitwa "Kero za Muungano" ila siyo kujitenga kabisa na ndugu zenu wa damu wa Tanganyika. Nahisi mtaathirika zaidi kuliko kunufaika na huko kujitenga mnakotaka.
Kwani wakiachiwa hio Zanzibar yao kuna shida gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom