SCI Internal Job Bulletin 18/06/2014

SCI Internal Job Bulletin 18/06/2014

Mkuu big up sana for what you were doing. If we had only few people of your caliber and the an open heart of helping each other, it will be great.
 
sitafuti kazi lakini nashukuru kwa msaada wako kuna mtu anaweza pata kazi akasaidia na wengine na tegemezi wake pia.
 
Yan hii thread ndo inaweza kuwaumbua watu kwa kushare identity zao mana kila mtu anapost official email yke
 
Mkuu nimekutumia address pm naomba untumie tafadhali au yeyote mwenye nayo anifanyie hisani aje pm nimpe email address
 
mungu akubariki kuwa na moyo wa kusaidia wengine
 
Back
Top Bottom