weirungu david
New Member
- May 16, 2014
- 4
- 0
Insha Allah hii itakuwa endelevu zikitoka na share... hainigharimu chochote.. na wewe fanya hivyo wenzetu na majirani zetu wako nchi nyingi sana kwa sababu wanashare... watz hatuko wengi sana kwenye missions hizi kama walivyo wakenya na waganda... uwezo upo ila tuache ubinafsi...
AU INGIA HAPA PIA Save the Children International na wengine huingia hapa pia ReliefWeb nenda kwenye job. asante