msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,738
Waungwa nimeona si vibaya kushare na ninyi nafasi za kazi zilizo tangazwa na hapa ninapopatia rizk... hizi sio local posting ni za kimataifa.. na application process ni simple,, fungua doc ya kwanza kabisa (SCI job bulletin) hapa utakuta list ya contact address za post zote zilizo tangazwa.... unachotakiwa kufanya ni ku update CV yako vyema na kutuma hakuna cross katika international jobs na wala hakuna kitu kidogo.... narudia siombi pesa ni free ni wewe na Mungu wako na elimu na uzoefu wako... usiniulize requirements zote ziko wazi hapo hakuna siri. nitumie email yako kwa PM.. au mod wanielekeze jinsi ya ku attach .. nikikutumia watumie na wenzako maana sintokuwa na muda mwingi wa kumtumia kila mtu... niko frontline huku