Scholarship za Postgraduate vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Scholarship za Postgraduate vipi?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mad Max, Oct 30, 2012.

 1. Mad Max

  Mad Max JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,433
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  Wakuu habari? Naombeni niwasilishe swali kwa niaba ya wengi. Nauliza mwenye any updates za postgraduate scholarship nchi yoyote. 7bu wengi tunapenda kuendelea na masomo baada ya hii shaada ya kwanza sema financially hatupo safi. Kwa mimi ndio nipo mwaka wa mwisho bsc applied geology, udom.
   
 2. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  jaribu ku google scholarship-position zipo kibao
   
 3. Mad Max

  Mad Max JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,433
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  Kaka nimetry naona blogs mbalimbali, ila wanakuzungusha tu hawakupi link ya kueleweka. Kwa fano kuna mshikaji amepost link za kufollow, ndio kama ameniongezea uzito wa tatizo. Nilikua naomba alie na link ya kuaminika
   
 4. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Nimemaliza medicine muhimbili 2yrs ago nataka scholarship ya Internal Medicine mwenye info naomba na mimi pia wakuu
   
Loading...