Scholarship kwa Watanzania, Westminster University U.K

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050
Hii Nimeitoa ktk JayDee Blogspot kama ilivyo.
Mnao-Qualify kazi kwenu kuomba.


Ndugu zangu watanzania, chuo cha Westminster kilichopo katikati ya jiji la london, UK, kila mwaka kinatoa scholarship kwa watanzania kusoma degree ya kwanza na ya pili bure (unalipiwa ndege kwenda london na kurudi Tanzania, maradhi, chakula, ada yote na kila mwezi hela ya matumizi).

Tatizo hizi habari tukipata hatupeani, mwisho nafasi kama hizi zinafutwa chuoni maana hamna wanaoziomba. Mi nilifanikiwa kuipata kupitia rafiki yangu, nami nimekuwa naitangaza na ntaendelea. Hii nafasi itasaidia kubadilisha maendeleo ya watanzania na Maisha yao kiujumla.

Link hiyo chini inamaelezo yoote. Deadline ni mwakani April, so kama upo interested, tumia mda huu kudownload form za kuomba chuo, ukipata chuo, then unaomba scholarship, maelezo yapo kwenye website yao
University of Westminster - Shaping the future of your professional life
link: Tanzania - University of Westminster

source: ladyjaydee.blogspot
 
Mbona wamesema deadline ni april 2009?achen fix bana.
 
Mbona wamesema deadline ni april 2009?achen fix bana.

Mkuu uwe unasoma vizuri kilichomo ndani sio kusoma juu juu tu, ndio maana tunaambiwa Watanzania ni wavivu kusoma.
Soma hapa chini:

Scholarships for Tanzanian students
The University of Westminster offers a Tanzania Scholarship which is awarded jointly with International Students House. To apply you must be from Tanzania and hold an offer for a full-time Masters degree at the University.
Wewe ulipo soma na kutoa Conclusion ni hapa:

Commonwealth Shared ScholarshipsAvailable to citizens of developing commonwealth countries for Masters programmes. NB: The application deadline is 30 April 2009.
 
jamani mi nina cheti cha diploma ya mambo ya kilimo tena kizuri tu (distintion) ninatamani kwenda kusoma nje ya nchi naomba msaada.
 
Back
Top Bottom