Scanning nikiwasha tv

Scanning nikiwasha tv

MAENE

Senior Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
116
Reaction score
22
Yaani leo hii tv lazima ipone bila kumwita fundi!

Wadau nimerudi tena nikiwasha tv yangu huwa inachukua muda mrefu kuscan,inaweza chukua dk tano.Na kwa mfano umeme ukikatika afu ukarudi inascanning weeeeh mpaka!yaani hata kama kuna kipindi nilikuwa nafuatilia naboreka kuangalia.

Asanteni kwa kunijuza.
 
km unatumia Dstv hua nikitu cha kawaida coz hua wanabadilisha code mara kwa mara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom