Transistor
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,061
- 1,640
INVERTER NI NINI?
Inverter ni kifaa kinacho badili umeme mdogo wa Direct Current (DC) kuwa Alternative Current(AC) na kuukuza ili uweze kkutumika kwa matumizi ya vifaa vikubwa vya nyumbani kama vile TV, Fridge etc .
Ikumbukwe kuwa Inveter zinatumia umeme wa battery,ambao ndio hukuza kwa matumizi husika.Kutokana na ukweli huo wengi hupenda kujiuliza maswali yafuatayo.
BATTERY ITAISHA BAADA YA MUDA GANI?
Swali kama hili haliwezi kujibiwa bila kujua mambo makubwa mawili ambayo ni
*Ukubwa wa bank yako ya kuhifadhi umeme (Battery)
*Ukubwa wa mzigo utakao fungwa kuchukua umeme katika benki hiyo(Load)
Kutokana na ukweli huu mimi nadhani swali hapa linatakiwa kuwa hivi "NI MUDA GANI NATAKA BATTERY YANGU IFANYE KAZI?"
Hii inamaanisha kuwa muda wa battery kufanya kazi ni maamuzi ya mtumiaji na sio inverter au battery yenyewe.
Hivyo kutokana na ukweli huo the following calculation can be done to determine "how long your battery will run"
1.Tambua ukubwa wa battery yako katika kuhifadhi umeme hii huandikwa katika battery yenyewe katika mfumo wa AMPERE HOUR (A.H)
Mfano battery imeandikwa 100 A.H hii inamaanisha kuwa kuwa kama mzigo uliofunga katika battery hii unachukua ampere 1 basi battery hii itakuwa na uwezo wa kutumika kwa moda wa masaa 100! Au kama mzigo uliofunga unachukua Miliampere
500(0.5 ampere) basi battery hii itakuwa na uwezo wa kutumika kwa masaa 200!Au kama mzigo uliofunga unachukua 5Ampere basi battery hiyo itatumika kwa masaa 20 tu!
Je inakuaje kama mzigoulio ufunga una chukua ampere 100?battery hiyoitatumika kwa muda wa saa moja tu!
Bila shaka utakubaliana nami kuwa ukubwa wa mzigo unaoendeshwa na battery husika ndio unao determine nimuda gain battery yako itatumika.
Hii inaweza kujulikana kwa kutumia formula hizi
(i) Tafuta Ampere inayo nyonywa kutoka katika battery
[TABLE="class: MsoTableGrid, width: 459, align: left"]
[TR]
[TD="width: 613, bgcolor: transparent"] Ampere inayonyonywa = Load(In Watts) ÷ 10(for 12v battery )or by 20 (for 24v battery)
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mfano:-
Pasi ya Watt 1000 imefungwa katika inverter ambayo hiyoinveter inachukua umeme wake kutoka katika battery ya Volt 12 yenye ukubwa wa 150 A.H
[TABLE="class: MsoTableGrid, align: left"]
[TR]
[TD] Ampere inayonyonywa = 1000 ÷ 10 = 100 Ampere
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
(ii)Tambua muda ambao battery yako itatumika kutokana na mzigo unao endesha
Time
NOTE:-Inverter zinatumia battery na battery hizi zina kanuni na sheria zinazo zilinda ili kudumisha ubora wake kwa muda mrefu.Matumizi yasio fata utaratibu hufupisha maisha ya battery na kuifanya
itumike kwa muda mfupi kabla haijaisha ubora wake.Na ikumbukwe kuwa battery ikisha haribika haifai kwa matumizi tena!Kwani inakuwa imepoteza ubora wake.
Mfano unachaji battery inakuwa full kabisa arafu ukitumia kidogo tu inakwisha bila proportion ya utaratibu rasmi wa formula hiyo hapo juu.Na kama battery ikifikia hatua hii you have to replace it!
NINI CHA KUZINGATIA?
Fundi anaye kutengenezea inverter ahakikishe anatengeneza inverter yenye efficiency isiyo pungua 70% kwa Sealed Lead Acid,Nickle-Cadmium,Lithium-Lon Batteries etc.
Hii inamaanisha kuwa battery yako itatumika kwa asilimia70% baada ya hapo inverter yako inatakiwa iache kuendelea kunyonya umeme kutoka katika battery hiyo!Kwa kifupi battery haitakiwi kuisha zaidi ya hapo ili iwe na maisha marefu.
Inverter nyingi za dukani tayari huwa zimewekewa circuit ya kulinda battery inverter za namna hii huandikwa kabisa katika label yake utakuta imeandikwa efficiency 80% au 70% au 90% etc.
Faida ya kuzingatia kigezo hiki ni kwamba battery yako itatumika muda mrefu bila
kupoteza ubora wake.
Hasara ya kuzingatia kigezo hiki ni kwamba battery yako itatumika kwa muda mfupi kuwasha vifaa vyako ambapo utakuwa na uwezo wa kutumia asilimia 30% to ya nguvu ya battery yako na ile 70% itabakia kulinda ubora wa battery!
Mfano (i)
Inverter inayo endesha mzigo wa watt 500 imefungwa katika battery ya 12v yenye 150 A.H.Je inverter hiyo itafanya kazi kwa muda gani kama kigezo cha efficiency kisipo zingatiwa?
Solution
Ampere= Power ÷ Dc voltage therefore 500w ÷ 10v =50 Ampere
Time=Battery capacity ÷ Ampere therefore 150A.H ÷ 50 Ampere = 3HRS
Hivyo inveter hiyo itafanya kazi kwa muda wa masaa 3 kabla haijazima
Mfano (ii)(tukizingatia kigezo cha efficiency)
Inverter inayo endesha mzigo wa watt 500 yenye efficient ya 70% imefungwa katika battery ya 12v yenye 150 A.H.Je inverter hiyo itafanya kazi kwa muda gani?
Solution
Igawanye 70 kwa 100 =70 ÷ 100 = 0.7
Chukua Wattage gawanya kwa efficiency = 500watt ÷ 0.7 = 714.2 watt
Tafuta current = 714.2 ÷ 12battery Voltage = 59.51 Ampere
Tafuta muda time kwa kutumia ampere yenye kigezo cha efficiency
Time = 150 A.H ÷ 59.51 = 2.5 HRS
Tumeona kwamba kama tukitumia battery bila kujari efficiency tunaweza kuitumia kwa masaa 3 Lakini kama tutajari kigezo cha efficiency tutatumia kwa masaa 2 tu!
Ndiyo maana kama mtu hafahamu hudhani inverter za dukani zinamaliza sana battery kwa sababu nyingi zina Over drain battery protection(efficiency between 70%-90%) hivyo hujizima mapema kuliko za kusuka ambazo nyingi hazina Over drain battery protection hivyo huwaka kwa muda mrefu hadi pale battery itakapo kwisha kabisa!
Hivyo kama wewe ni mteja utaamua mwenyewe mfumo upi kwako ni bora!
KATI YA INVERTER ZA DUKANI NA ZILE ZA KUSUKA ZIPI NZURI (BORA)?
Bila shaka wengi wamekuwa wakijiuliza sana swali hili wengine wanaamini za kusuka ni bora zaidi dhidi ya zile za dukani nawegine wanaamini kinyume chake!
Ukweli ni upi?
Mimi nadhani kabla hatujasema ipi ni nzuri lazima tufahamu inveter nzuri inatakiwa iwe na vitu gani (tukiacha swala la ukubwa au udogo wa inveter(power) because it is variable factor)
INVERTER BORA INATAKIWA IWE NA VITU VIFUATAVYO
-Iwe na circuit ya kuzuia overload
-Iwe na circuit ya kuzuia battery over drain
-Iwe na uwezo za kuhimili voltage surge(start up overload)
-Iwe na efficiency kuanzia 70%-90%
Jibu langu litakua ipi ni bora endapo tu itakuwa na vitu hivyo hapo juu
SIKWELI KWAMBA ETI INVETER NZURI INATEGEMEANA NA KIGEZO CHA KWAMBA ETI HII IMESUKWA NA MKONO AU HII NI YA KIWANDANI!
Tukitazama kigezo cha maintenance inverter za kusukwa ni bora zaidi kwani nyingi hutengenezwa kwa mfumo mnyambuko,hivyo ni rahisi kuzifanyia marekebisho pale zinapo haribika.Hivyo jitahidi kumtafuta fundi mzuri akusukie inverter yenye vitu muhimu kama nilivyo elekeza hapo juu.
Inverter za dukani ni ngumu sana kuzifanyia maintenance pale zinapo haribika kwasababu zinatumia vifaa vidogo vyenye mchanganyiko wa saketi yaani intergrated circuits(ICs),ambapo nyingine huwa ni ndogo sana kiasi cha kuhitaji vifaa vya ziada kuz
ihudumia.
KWA MASWALI ZAIDI WASILIANA NASI 0657-115587
Inverter ni kifaa kinacho badili umeme mdogo wa Direct Current (DC) kuwa Alternative Current(AC) na kuukuza ili uweze kkutumika kwa matumizi ya vifaa vikubwa vya nyumbani kama vile TV, Fridge etc .
Ikumbukwe kuwa Inveter zinatumia umeme wa battery,ambao ndio hukuza kwa matumizi husika.Kutokana na ukweli huo wengi hupenda kujiuliza maswali yafuatayo.
BATTERY ITAISHA BAADA YA MUDA GANI?
Swali kama hili haliwezi kujibiwa bila kujua mambo makubwa mawili ambayo ni
*Ukubwa wa bank yako ya kuhifadhi umeme (Battery)
*Ukubwa wa mzigo utakao fungwa kuchukua umeme katika benki hiyo(Load)
Kutokana na ukweli huu mimi nadhani swali hapa linatakiwa kuwa hivi "NI MUDA GANI NATAKA BATTERY YANGU IFANYE KAZI?"
Hii inamaanisha kuwa muda wa battery kufanya kazi ni maamuzi ya mtumiaji na sio inverter au battery yenyewe.
Hivyo kutokana na ukweli huo the following calculation can be done to determine "how long your battery will run"
Kanuni za kutambua muda wa kutumika kwa battery
Mfano battery imeandikwa 100 A.H hii inamaanisha kuwa kuwa kama mzigo uliofunga katika battery hii unachukua ampere 1 basi battery hii itakuwa na uwezo wa kutumika kwa moda wa masaa 100! Au kama mzigo uliofunga unachukua Miliampere
500(0.5 ampere) basi battery hii itakuwa na uwezo wa kutumika kwa masaa 200!Au kama mzigo uliofunga unachukua 5Ampere basi battery hiyo itatumika kwa masaa 20 tu!
Je inakuaje kama mzigoulio ufunga una chukua ampere 100?battery hiyoitatumika kwa muda wa saa moja tu!
Bila shaka utakubaliana nami kuwa ukubwa wa mzigo unaoendeshwa na battery husika ndio unao determine nimuda gain battery yako itatumika.
Hii inaweza kujulikana kwa kutumia formula hizi
(i) Tafuta Ampere inayo nyonywa kutoka katika battery
[TABLE="class: MsoTableGrid, width: 459, align: left"]
[TR]
[TD="width: 613, bgcolor: transparent"] Ampere inayonyonywa = Load(In Watts) ÷ 10(for 12v battery )or by 20 (for 24v battery)
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mfano:-
Pasi ya Watt 1000 imefungwa katika inverter ambayo hiyoinveter inachukua umeme wake kutoka katika battery ya Volt 12 yenye ukubwa wa 150 A.H
[TABLE="class: MsoTableGrid, align: left"]
[TR]
[TD] Ampere inayonyonywa = 1000 ÷ 10 = 100 Ampere
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
(ii)Tambua muda ambao battery yako itatumika kutokana na mzigo unao endesha
Time
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD] Time = Battery Capacity(A.H) ÷ Ampere
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD] Time = 150 A.H ÷ 100 Ampere = 1.5Hour
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hivyo mtumiaji wa pasi hiyo ataweza kuitumia pasi yake kwa muda wa saa moja na nusu tu kabla battery haijaisha![TR]