MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
samahani , ile unaendelea kuongea unastukia grrrrrrrrrrrrrrr grrrrrrrrrrrrrrr anakoroma

Wapendwa haya ni baadhi ya maneno/sentences/phrases zitumikazo katika kuomba msamaha kwa mpenzi wako. Kuna ambazo ni more sympathetic kwa kweli kiasi kwamba zinaweza kukufanya ukatabasamu na hacra zako kutoweka kabla hata mwombaji hajamaliza kuomba msamaha na kuna ambazo yaani badala ya kumsamehe kosa alilokosa unajikuta unatamani kumwongezea kosa jingine......................

Kuna hii...................

My darling, If I have ever wronged you, please forgive me

I want to make you smile again, please teach me how to make you smile again

Am dying for you to love me again, am dying to be in your arms again

Please mylove I cant be me if you cant make me feel that

Lakini kuna hii pia ............

...Ah nawe huna dogo? Si yamekwisha??!!

Au............

Bwana eh kama nimekukosea, nisamehe........................!!

Honestly ningependa kujua aina ya misamaa ambayo tulishawahi kuiomba/ombwa kwa/na wenzi wetu.
Hii thread itakuwa very telling naona....lol
Hapo hajanywa kachoka kubeba mizigo mizito huko kariakoo shimoni, na unakuwa umemsubiria kwa hamu na huwezi lala lazima ushushe donge lako rohoni, yaani mnaongea vizuri, then anakuppa samahani then unaendelea kuongea mwenzako anaanza kukoromaama kweli pombe si chai. na ww usimsimange usiku banaa,unamuamsha asubuhi na machozi ya kumuibia..
Nakuomba nisamehe Mpenzi Napenda niongee mengi nioneshe ni kiasi gani najutia kosa lakini naelewa kua nawe ni binadamu bado una hasira na hujapoa hivo maelezo yangu yatakua ka kelele tu kwako nakupa nafasi wa ndani wangu utafakari.. ila naomba nitapo rudi walau moyo wako juu yangu urudi hali ya kawaida Kikubwa jua nakupenda saana . Na najihisi si lolote bila penzi lako . Take care lov...

Samahani!!

Haya naomba samahani.

Im really sorry...i didnt mean to hurt you.

Sorry!

Heyyy I said im sorry owkeyy.Kama hutaki utajijua!!

Sasa unanilazimisha...samahani basi!!!

Kuna wimbo nasikiliza hapa unaitwa Pole wa Swahili Nation msamaha unaoombwa sio mdogo.