Sayari zipo 8 na sio 9 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sayari zipo 8 na sio 9

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Nondo, Jan 21, 2012.

 1. N

  Nondo Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nipo kwenye kikao cha wazazi shule ya msingi, kuna mwalimu amesema kwamba mitaala siku hizi imebadilika mitaala ya zamani inasema sayari zipo 9 ila mitaala ya sasa hivi inasema sayari zipo 8. Hili swala mwalimu alilizungumzia baada ya mzazi mmoja kusema wakati mwingne swali analijua lakini mtoto wake amekoseshwa and vice versa
   
 2. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,223
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  so tukusaidie nini!!!
   
Loading...