Ndg, nadhani mchango wangu wa thread hii tangu mwanzo nimeeleza vyema juu ya kile mwanzisha maada alichokieleza na kutuonyesha.
Kwahio laiti kama ungefwatilia mchango wangu tangu mwanzo tusingefika huku. Kukariri na kuelewa ni vitu viwili tafauti sana.
Nilieleza hivi kwa faida ya wengine. Hakuna kipya chini ya jua. Kama umebahatika kuaccess mother knowledge utakuwa una faida ya kufahamu mengi kuliko wenzio. Maarifa yote yapo (Sudan, misri,mali, mexico, china, thailand, south afrika, iraq na ethiopia) maarifa haya hayapo Ulaya.
Ni maarifa yaliowekwa na mababu zetu. Mfano tafuta Dogon cosmology and egyptian hieroglyphic writings, ambao walifahamu uwepo wa maisha ktk sayari nyingine nje ya dunia yetu. Miaka 3000 iliopita. DOGON NI KABILA MOJA LILIOPO KTK NCHI YA MALI.
ANGALIA WALIVYOWABUFFLED NASA wakati wao leo ndio wanaprove elimu yetu ya miaka 3000.
Namalizia kwakukufundidha kwamba. BLACKS PEOPLE ARE NOT MACHENICAL BEINGS, BUT WE ARE SPIRITUAL BEING. EVERYTHING IS WRITTEN INTO OUR DNA, WE JUST NEED TO TAP THAT MOTHER KNOWLEDGE, RATHER THAN READING BOOKS WRITTEN BY LOW LIFE CRACKERS WHO MISLEAD AND MISINFORM PEOPLE.
NINA USHAHIDI MKUBWA SANA JUU YA HOJA ZANGU IN REAL AFRICAN WAYS OF LIVING, U JUST NEED TO BE OBSERVATORY, WE HAVE THE ANSWER TO UNLOCK THE SECRETS.
EUROPEANS AND AMERICANS Are dam liers, hypocrites. How can the journey came lately be our educational think tankers?
HAWA JAMAA KILA KITU TUMEWAPELEKEA NA HAYA YALIKUWA MAKOSA MAKUBWA SANA. KULE ULAYA VYUO VYOTE VYA MWANZO KABISA, VILIJENGWA NA KUANZISHWA NA MOORS. MOORS WERE BLACK AFRICANS, WHO CONQUERED AND RULE EUROPE FOR 800 YEARS FROM 720 TO 1500. NA MIAKA HII HAWA CAVE DWELLERS (WAZUNGU) NDIO HUITA "DARK AGES IN EUROPE".
KWA TAARIFA YAKO NI KWAMBA, AMONG OF THE SEVEN CONTINENTS, EUROPE IS THE ONLY CONTINENT STARTS WITH "E" AND THE REST 6 CONTINENTS START WITH "A". WHY, BECAUSE LETTER "A" REPRESENTS THE SHAPE OF PYRAMID. ULAYA HAWAKUJENGA PYRAMIDS KWA SABABU NI ENEO LILILOKATENGWA NA MABABU ZETU KUWA SEHEMU YA MAGEREZA. NDIO MAANA KUNA MAPANGO MENGI ULAYA KULIKO SEHEMU YEYOTE.
HAWAKUWA NA MAARIFA YA KUJENGA. KILA KITU WAMEPELEKEWA. FANYA TAFITI.
Hizi story huwa zinasaidia kiasi flan na waafrika kujitutumua. Ushahidi ulio nao hujaweka. Huko europe ambako kuliwekwa kwa ajili ya kujenga magereza wafungwa walikuwa wanatoka wapi?
Hizi story inatakiwa uwapigie huko vijijini kabisa watoto wa miaka 4-6 hawa wanaweza kukuelewa.unapoleta kwa sisi watu wazima jipange hata kidogo.
Nimekueleza fanya tafiti acha kukariri. Wafungwa walikuwa haya makabila ya kizungu. Labda kiufupi soma kuran surat ya 18. People of the cave. Au soma typhons by egyptians. Kizazi cha sasa sio kama chenu wazee ******. Mbona mengine hujahoji? BILA SHAKA UMEYAELEWA VYEMA. WE ARE THE ABORIGINALS. THE ROOT OF HUMANITY.
Nmekuuliza hayo machache ambayo nlidhan ungeweza yatolea ufafanuzi mdogo ukiacha story mnazopeana huko. Wewe nadhan ndo una kariri. According to history america ndiyo bara walilokuwa wanapelekwa wafungwa toka Mataifa ya kizungu mengi hasa uingereza. Hizo habar zako nyingine ni za uongo na ni story mnazopeana kupotoshana
Duuh,kwa hiyo kwenye hiyo sayari kama kuna usiku na mchana, ina maana mwaka wake wote ni siku 11.2 tu, ina maana sisi tukitimiza mwaka mmoja huku dunia kule itakuwa miaka kama 32 hivi, mtu akiishi huko atajiona amekaa miaka mingi huko kumbe akija huku duniani atakuwa amekaa muda kidogo sana, aliyetengeza ulimwengu salute kwakeView attachment 387393
Wanasayansi wamegundua sayari ambayo inakaribia sana Dunia kwa mazingira na ukubwa wake na ambayo inazunguka nyota ijulikanayo kama Proxima Centauri, iliyo na mfumo unaokaribia zaidi mfumo wetu wa jua.
Sayari hiyo, ambayo kwa sasa imepewa jina 'Proxima b' inazunguka nyota hiyo katika eneo ambalo kuna uwezekano mkubwa sana wa kupatikana kwa maji.
Proxima inapatikana umbali wa kilomita trilioni 40 na inaweza kumchukua mtu, akitumia teknolojia ya sasa ya vyombo vya usafiri wa anga za juu, maelfu ya miaka kufika huko.
View attachment 387394
Licha ya kwamba ni mbali sana, kugunduliwa kwa sayari hiyo huenda kukasisimua hisia na mawazo ya binadamu na wanasayansi kuhusu kuwepo kwa viumbe katika sayari nyingine au uwezekano wa wakati mmoja watu kuishi kwenye sayari nyingine.
"Kusema kweli, kufika huko kwa sasa hiyo ni kama hadithi ya kubuni kisayansi, lakini watu sasa wanalifikiria hilo na si jambo lisiloweza kufikirika kwamba wakati mmoja huenda watu wakatuma chombo huko," Guillem Anglada-Escudé, ambaye kundi lake la Pale Red Dot limechapisha matokeo ya ugunduzi wa sayari hiyo katika jarida la Nature amesema.
Mapema mwaka huu, bilionea Yuri Milner alisema atawekeza $100m katika utafiti wa kuunda chombo au kifaa kidogo kinachoweza kusafiri anga za juu kwa kutumia teknolojia ya laser.
Chombo kama hicho kinaweza kusafiri kwa pengine asilimia 20 ya kasi ya mwanga na hivyo kufupisha safari ya kufika kwenye nyota kama vile Proxima Centauri kutoka maelfu ya miaka hadi miongo kadha.
Ugunduzi wa sayari hiyo ulifanikishwa kupitia darubini ya kisasa yenye kifaa kujulikanacho kama HARPS.
Darubini hiyo imewekwa nchini Chile.
Takwimu kutoka kwa darubini hiyo zinaonyesha uzito wa Proxima b huenda ukawa mara 1.3 zaidi ya uzito wa dunia na kwamba inazunguka nyota ya Proxima katika umbali wa kilomita milioni 7.5. Huchukua siku 11.2 kumaliza mzunguko mmoja.
Umbali kutoka kwa nyota hiyo na sayari hiyo ni mfupi ukilinganisha na umbali kutoka kwa Dunia hadi kwa Jua (kilomita 149 milioni). Lakini Proxima Centauri ni 'nyota nyekundu mbilikimo'. Si kubwa sana na nguvu zake si nyingi kama za Jua hivyo safari inaweza kuwa karibu na nyota hiyo lakini iwe na mazingira sawa na ya dunia.
Chanzo: BBC
Kwenye dicovery science kipindi cha nextworld walikua wanaelezea uwezekano wa kurefusha maisha kwa kubadilisha seli zilizokufa na mtu ataweza kufika miaka 1000 labda apate ajali ila kwa kuumwa watakuwa wana badilisha seli nyeupe, nyekundu za damu ila bado wapo kwenye utafiti zaidi, watabadilisha mpaka seli za ngozi ili mtu asionekane mzeeTatizo life is too short... Tungegundua jinsi ya kurefusha angalau umri wa binadamu uwe miaka buku
haimilikiwi na chile,mitambo mingi hasa telescope hata ile vlt(very large telescope ipo kule) kwanza zipo kwenye atacama desert ambapo kuna the clearest sky on the planet hakuna mawingu kipindi kirefu cha mwaka wala hata vegetation mvua haijuilikani ilinyesha lini hapo Atacama desert, kwa hiyo ni perfect place ya kuweka telescopeKuna kitu sijakielewa barabara.Hivi kwa nini ile Darubini iwepo kule Chile? Inamilikiwa na nchi ya Chile au ni kwa sababu ya Kijiografia?
Mkuu kupata chombo au kifaa kitakacho safiri zaidi ya speed ya mwanga inabidi kitumie infinity energy, daaah sijui itawezekana?Leo tunafikiria tu Mwanga kama ndio kitu kinachosafiri kwa kasi kuliko vitu vingine.Hatuwezi kujua vizazi vijavyo vitakuwa na uelewa gani.
50 years?mbona tungepeleka fasta,tukitumia fastest rocket kwenda alpha centauri ni 81,000 years mkuu, kama tumeweza kutuma Voyager 1 toka mwaka 1977 mpaka leo na itaendelea kufanya kazi mpaka 2025,ingekuwa miaka 50 tungetuma rocket hukoHapo kwenye distance tu ndo pananishinda mimi….. Sasa mwanga wenyewe 2 years ndo ufike.. Sisi binadamu c ndo zaidi ya 50yrs
Kwenye dicovery science kipindi cha nextworld walikua wanaelezea uwezekano wa kurefusha maisha kwa kubadilisha seli zilizokufa na mtu ataweza kufika miaka 1000 labda apate ajali ila kwa kuumwa watakuwa wana badilisha seli nyeupe, nyekundu za damu ila bado wapo kwenye utafiti zaidi, watabadilisha mpaka seli za ngozi ili mtu asionekane mzee
Sidhani hizo ni story tu....mbona hatuzion satellites walizozituma anagi???Unajua miaka milion 20 hadi milion 30 iliyopita, binadamu alikuwa ameendelea zaidi kuliko hivi sasa?. Inasemekana hatujafikia hata nusu hatujafikia maendeleo yaliyokuwapo wakati huo kabla ya gharika kutokea (lililoikumba dunia) na kutufanya turudi katika zama za mawe.
Haki ya nani nikikuona huko na ssm yako ntapoteza kwa mikono yangu mwenyewe....tuwai tukafungue shina la ccm.