Sayari inayofanana na Dunia yagunduliwa

Sayari inayofanana na Dunia yagunduliwa

But kuna vitabu vingine vya dini vinaeleza kuwa kuna sayari Zingine ambazo zipo wanaishi watu na huko dhambi hakuna. Dhambi ni hapa Duniani tu ambapo shetani alitupwa
 
Wewe ndio ****** kweli. Hata hufahamu huu ni wakati gani na kwanin watu weusi wameanza kujitambua wao ni akina nani ktk ulimwengu huu. Hawajajifunza mashuleni kwa maana huku ndiko wapumbavu kama wewe mnadhani ndio sehemu ya kupata maarifa hali kwamba mifumo ya elimu uchwara na dini zenu uchwara ndizo zinazoendelea kuwapumbaza wenye urithi ili waovu waendelee kuishi na kuendelea kuwahadaa kwamba tumegundua so and so. WAPUMBAVU WAKUBWA.

KUAMSHWA KWA DNA ZETU NI PIGO KWAO NA WALE WANAWAABUDU KIUPUMBAVU KAMA WEWE. THIS IS THE END OF ACQUARIAN PERIOD AND THE COMING OF THE NEW ERA. THE ERA OF FINAL CALL FOR THE CHOSEN ONE.

UR MASTERS KNOW EAXCTLY THAT, THEIR TIME IS UP BECAUSE NO MORE LIES NO MORE MASQURADING. TRUTH IS PREVAILING. HIVYO KWA SISI WEREFU TUNAJUA WANAKOENDA NA WAVYOFIKIRIA KUWAYUMBISHENI. LAKINI HAWATAWEZA MAANA MUDA WAO WA KUWAHADAA WATEULE UMEKWISHA.

SISI TULIOAMSHWA NA TULUOACCESS MOTHER KNOWLEDGE Kazi yetu kuwaeleza na kuwafundisha ama kuwakumbusha ndugu wa jamaa zetu kuhusu ukweli.

HAKUNA JIPYA CHINI YA JUA. WAMESHINDWA KUJENGA MAPIRAMIDI YALIYOPO HAPA DUNIANI WANAKIMBILIA MAARIFA YA MBINGU. KICHEKESHO SANA. WATU WANGU WANAHARIBIWA KWA KUKOSA MAARIFA.
Hapo nimeambulia matusi tu!! Sijaona hoja yoyote ya maana,hivi mtu aliyetumia ka akili kake kadogo kuvumbua na kuunda kitu kitakacho wasaidia binaadam wengine bila kujali tofauti zao na yule anayekaa pembeni idle huku akimbeza mgunduzi kuwa eti "siyo wewe ila ni Mungu ndiyo amegundua" na mimi ninayenyoosha maneno nani punguani?
 
Binadamu kama tukiwekeza katika utafiti naamini tutafikia suluhisho la kutafta makazi inje ya dunia

Tatizo ni njaa, umasikini , ujinga, vita, na mambo mengi ambayo binadamu wameshindwa kuyashugulikia nakubaki katika Lindi la umasikini ni chanzo cha kushindwa kupata suluhu ya kupata uwezo wa kutoka inje ya dunia kwani inahitaji gharama kubwa ambazo serikali nyingi hawana uwezo wa kugharimia.
Unajua miaka milion 20 hadi milion 30 iliyopita, binadamu alikuwa ameendelea zaidi kuliko hivi sasa?. Inasemekana hatujafikia hata nusu hatujafikia maendeleo yaliyokuwapo wakati huo kabla ya gharika kutokea (lililoikumba dunia) na kutufanya turudi katika zama za mawe.
 
Hapo kwenye distance tu ndo pananishinda mimi….. Sasa mwanga wenyewe 2 years ndo ufike.. Sisi binadamu c ndo zaidi ya 50yrs
 
Ni mambo mengi nimejifunza kuhusu ulimwengu pia ninaamini kuna sehemu nyingine kuna uhai katika ulimwengu huu Shida kubwa ni ufikaji wa sehemu Hizo ni umbali Mrefu sana pengine hata kusikohesabika.
Roho za wafu zinakaa huko
 
Unajua miaka milion 20 hadi milion 30 iliyopita, binadamu alikuwa ameendelea zaidi kuliko hivi sasa?. Inasemekana hatujafikia hata nusu hatujafikia maendeleo yaliyokuwapo wakati huo kabla ya gharika kutokea (lililoikumba dunia) na kutufanya turudi katika zama za mawe.

Kivipi? How? Maendeleo ni nn? imepimwaje? Binadamu hakuwepo enzi hizo. Gharika la biblia ni tukio la juzi tu..!sio mamillion ya miaka
 
Hadi huko Mungu kakuumba au huko hausiki na huko!
 
Kivipi? How? Maendeleo ni nn? imepimwaje? Binadamu hakuwepo enzi hizo. Gharika la biblia ni tukio la juzi tu..!sio mamillion ya miaka
Kivipi? How? Bila shaka utakubaliana kuwa katika majira ya kipindi hiki cha tangu kuzaliwa kwa yesu kristo kuna matukio yaliyowahi kutokea (natural and man-made events) yaliyoweza kubadili mifumo kadhaa ya maisha/maeneo fulani ambayo mwisho wa siku ilimeweza kueneo kila sehemu ya dunia. Kwa mfano: tukio kama Aleppo earthquake (1138) based on geographical data, tsunami (2004), India clclone (1839), Bhola cyclone (1979), shaanxi earthquake (1556), na mengine meengi ambayo hayazungumzwi au kwa lugha nyepesi they are slow happening events. Haya ni matukio ambayo hayazuiliki kwa kujiandaa bali kwa kusubiri matokeo na kukabiliana nayo. Kwa hiyo wanaobaki huwa wanaendelea hivyo na hatimaye kufikia hatua kuzaana na kufikia tena hatua kama ilivyo sasa.

Maendeleo ni nn? Kwa maelezo mepesi kabisa, ni ile hatua ya jamii au mtu kutoka hali ya chini kimaisha kwenda hatua nyingine ya juu ililiyo bora zaidi. Hivyo, kutokana na hayo maelezo, kati ya miaka milion 20 hadi milion 30 iliyopita binadamu alikwisha fikia hatua ya juu kabisa ya kimaendeleo (yaani kama ni usafiri wa anga, majini, train za umeme hizi usiseme).

Imepimwaje? Based on geographical data. Ilipotokea hii kitu gharika (siyo hili la kwenye bible la juzi juzi hilo) walibaki watu wachache sana kila bara. Kutokana na mazingira tofauti waliyobaki nayo, watu wa middle east walikuwa subjected to very harsh environment ndo maana wakajikuta wanapambana na kuweza kuwa na mbinu nyingi. Kumbuka akina Christopher Columbus na Vasco Da Gama (matukio ya juzi juzi haya based on researchers geographical data) walivyoenda huko Amerika ya kusini walikutana na watu wengine huko wakiwa na miungu wa watu ambao nao walikuwa wananguvu.

Kutokana na tafiti zilizofanyika kwa kufuatilia matukio haya, vipindi hivyo vitajirudia when and how? nani atabaki? Je level gani ya maendeleo dunia itajireset na kuturusisha nyuma kuanza moja? Hayo ni maswali ambayo bado yanagonga vichwa.
 
Hapo nimeambulia matusi tu!! Sijaona hoja yoyote ya maana,hivi mtu aliyetumia ka akili kake kadogo kuvumbua na kuunda kitu kitakacho wasaidia binaadam wengine bila kujali tofauti zao na yule anayekaa pembeni idle huku akimbeza mgunduzi kuwa eti "siyo wewe ila ni Mungu ndiyo amegundua" na mimi ninayenyoosha maneno nani punguani?

Ndg, nadhani mchango wangu wa thread hii tangu mwanzo nimeeleza vyema juu ya kile mwanzisha maada alichokieleza na kutuonyesha.

Kwahio laiti kama ungefwatilia mchango wangu tangu mwanzo tusingefika huku. Kukariri na kuelewa ni vitu viwili tafauti sana.

Nilieleza hivi kwa faida ya wengine. Hakuna kipya chini ya jua. Kama umebahatika kuaccess mother knowledge utakuwa una faida ya kufahamu mengi kuliko wenzio. Maarifa yote yapo (Sudan, misri,mali, mexico, china, thailand, south afrika, iraq na ethiopia) maarifa haya hayapo Ulaya.

Ni maarifa yaliowekwa na mababu zetu. Mfano tafuta Dogon cosmology and egyptian hieroglyphic writings, ambao walifahamu uwepo wa maisha ktk sayari nyingine nje ya dunia yetu. Miaka 3000 iliopita. DOGON NI KABILA MOJA LILIOPO KTK NCHI YA MALI.

ANGALIA WALIVYOWABUFFLED NASA wakati wao leo ndio wanaprove elimu yetu ya miaka 3000.

Namalizia kwakukufundidha kwamba. BLACKS PEOPLE ARE NOT MACHENICAL BEINGS, BUT WE ARE SPIRITUAL BEING. EVERYTHING IS WRITTEN INTO OUR DNA, WE JUST NEED TO TAP THAT MOTHER KNOWLEDGE, RATHER THAN READING BOOKS WRITTEN BY LOW LIFE CRACKERS WHO MISLEAD AND MISINFORM PEOPLE.

NINA USHAHIDI MKUBWA SANA JUU YA HOJA ZANGU IN REAL AFRICAN WAYS OF LIVING, U JUST NEED TO BE OBSERVATORY, WE HAVE THE ANSWER TO UNLOCK THE SECRETS.

EUROPEANS AND AMERICANS Are dam liers, hypocrites. How can the journey came lately be our educational think tankers?

HAWA JAMAA KILA KITU TUMEWAPELEKEA NA HAYA YALIKUWA MAKOSA MAKUBWA SANA. KULE ULAYA VYUO VYOTE VYA MWANZO KABISA, VILIJENGWA NA KUANZISHWA NA MOORS. MOORS WERE BLACK AFRICANS, WHO CONQUERED AND RULE EUROPE FOR 800 YEARS FROM 720 TO 1500. NA MIAKA HII HAWA CAVE DWELLERS (WAZUNGU) NDIO HUITA "DARK AGES IN EUROPE".

KWA TAARIFA YAKO NI KWAMBA, AMONG OF THE SEVEN CONTINENTS, EUROPE IS THE ONLY CONTINENT STARTS WITH "E" AND THE REST 6 CONTINENTS START WITH "A". WHY, BECAUSE LETTER "A" REPRESENTS THE SHAPE OF PYRAMID. ULAYA HAWAKUJENGA PYRAMIDS KWA SABABU NI ENEO LILILOKATENGWA NA MABABU ZETU KUWA SEHEMU YA MAGEREZA. NDIO MAANA KUNA MAPANGO MENGI ULAYA KULIKO SEHEMU YEYOTE.

HAWAKUWA NA MAARIFA YA KUJENGA. KILA KITU WAMEPELEKEWA. FANYA TAFITI.
 
Duu majirani zetu usikute na wenyewe kama kuna viumbe wana plan ya kuja huku.
 
Ukitaka kujua wanasayansi akili zao ndogo sana kupita maelezo soma maelezo yafuatayo;
Proxima inapatikana umbali wa kilomita trilioni 40 na inaweza kumchukua mtu, akitumia teknolojia ya sasa ya vyombo vya usafiri wa anga za juu, maelfu ya miaka kufika huko.
hivi kuna binadamu anaweza kuishi hata miaka mia mbili kwasasa?
 
Yawezekana kuna sehemu nyingine nje ya mfumo wetu wa dunia kuna makazi ya viumbe hai wanaoishi ila yawezekana wakawa tofauti na sisi au ni mbali sana na hapa tulipo na huenda na wenyewe wana mawazo kama haya ya kwetu kutaka kutufikia lakini wanashindwa kutokana na umbali. Mwache mungu aitwe Mungu
 
Ikitokea siku moja tutakutana na intelligence life sehemu nyingine tofauti na duniani kuna uwezekano wa mambo mawili:
1. Kama wao nao wanaamini uwepo wa Mungu basi dini itakua imepata nguvu zaidi.
2. Kama hawaamini uwepo wa Mungu basi hata dini zetu hapa duniani zitakufa maana huyu Mungu wetu atakua wa duniani tu? au watu wa dini mtakuja na theory nyingine kua hao watu wametumwa na shetani kuja kutupotosha maana hua hamchelewi kutafuta explanation kujiridhisha.
Mi ambapo watu wa dini hua mnaniacha hoi ni pale ambapo mtu akisema otherwise mnakua wa kwanza kutoa matusi, hizi dini naona zinawafundisha vizuri kweli.
kweli mkuu umewaza nje ya box coz kama ni kweli kuna viumbe huko tutaweza kupata ukweli kuhusu Mungu na asili ya Mwanadamu
 
Ukitaka kujua wanasayansi akili zao ndogo sana kupita maelezo soma maelezo yafuatayo;
Proxima inapatikana umbali wa kilomita trilioni 40 na inaweza kumchukua mtu, akitumia teknolojia ya sasa ya vyombo vya usafiri wa anga za juu, maelfu ya miaka kufika huko.
hivi kuna binadamu anaweza kuishi hat miaka mia mbili kwasasa?
Hahahahaa hahaaa lazima waweke kaugumu fulani ili kulinda fact zao zisipingwe kirahisi
 
Labda kizazi kijacho umbari trillion 40 km kutoka jua c hata jua hakina!!!
 
Back
Top Bottom