Sayansi inamthibitisha Membe?


Tafuta Sehemu Ya Kuyaweka AU Kupeleka Mawazo Yako Ya MSALANI ( Chooni ) Kama Haya! Vibaraka Wa Banabana Maembe Mnaweweseka Mno. Huyo Mtajwa Hana Sifa Ya Kuwa Rais Wetu ILA Najua Unamjua Rais Wako Mtarajiwa Ni Nani.........TUMETESEKA PAMOJA na TUTAFURAHI PAMOJA!
 
#Team Membe mshaanza kampeni mapema namna hii?
 
Mimi kwa WELEDI wangu naona Membe anafaa kuwa Rais kwanza ana exposure sana.. na ana msimamo na hana record mbaya
 
Hivi kwa akili zenu do you think membe anaweza kuwa rais wa nchi hii? Au ndio ataleta mambo ya ushemeji kama mwenzake jk?
We need a man of people and understanding and of strong leadership,
nadhani mnamjua

si mwingine ni huyo unayemfikiria anawezakuwa japo waigopa kuongea hadharani

edward ngoyai lowassa

aka

dr slaa wilbrod

hai ndio wawili wanaoweza kuikimbiza hii nchi toka katika hatua ilipo hadi maendeleo halisi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…