ngong'0
Member
- Jun 23, 2014
- 49
- 46
Wasaalam kama kichwa cha habari kinavojielezaa, twende moja kwa moja kwenye mada,
Nitaeleza kisa kimoja ambacho nimekutana na hawa baby mama drama kwa Sasa ni wamejaa sana, siku hizi wakina dada wanaona fashion kuzaa, kuwa na mtoto wakati hawajajipanga kabisa, ukijitusu tu upige kavu wanategesha kitu mimba. Sasa mimi imenitokea nilikua na msichana moja wa uswahilini afu mimi ni mtu wa kilaji, sasa kabla hatujaanza kunjunjana msichana kaniambia tukapime nikajua hapa ndo nimepata mke wa kuoa kabisa sikujua ni mswazi hapi, mzee mzima nikajitoa huyo dispensary kupima jasho kunitoka, majibu kuja tupo poa.
Tukaanza mahusiano bana sikutaka kumwonesha kama wa kishua na kipindi hicho nimetoka kumaliza chuo, yeye kanipanga bado ansoma magogoni, sasa nikaanza kustuka huyu msichana ukimwita aje geto anahamia kabisa anaweza akaja akakaa siku 3 kwao hapakumbuki kabisa.
Nikaanza kumchunguza anaishi wapi nikafanikiwa kufika hadi kwao nikaonana na mama ake. Nikatengeneza ukaribu na mama yake nikaanza kumdadisi huyu mwanao ni vipi anasoma au anafanya shughuli gani, nilichokiskia nilihisi dunia chungu;
1)Alitafutiwa shule amekata kusoma
2)Hana heshima na hamheshimu mama ake kabisa
3)Hana shughuli yoyote anayojishughulisha nayo
Na mimi nilivofanya utafiti wangu nikajua ni mtu wa kudanga, sasa wakati namaliza kufanya tafiti zangu kumbe tayari ameshapata mimba yangu, siku ya kwanza anakuja kuniambia nikamwambia bila kupepesa macho to tu hiyo mimba maana mimi sina future yeyote na wewe ya kimaisha na ukizingatia ndio nimetoka kumaliza chuo sina mchongo wowote town, dada akakaza baada ya kujua home tunakauwezo kidogo.
Sasa ikaenda akajifungua mtoto wakati mi nikijua alishaitoa ile mimba, kwenda kuangalia toto copy kabisa na mimi basi bwana nikasema isiwe tabu nikaanza kumuhudumia mtoto vizuri tu na kipindii hicho Mungu mkubwa nikawa nimepata mchongo mjini. Sasa kutokana na mazingira ya kwao hayakua mazuri nikamchukua na dogo nikaenda kukaa nae kwangu hapo sasa picha ndipo lilipoanza.
Tukutane sehemu ya pili
==============================================
Tuendelee: Sehemu ya pili
Aim kubwa ya kumchukua yeye pamoja na mtoto ilikua ni kuwa karibu na mtoto wangu tu Ila kiukweli sikua na mapenzi na yeye,tukaendelea kuishi poa tu mtoto anakua vizurii nikampeleka kwa wazee wangu kumwona mjukuu wao,
Sasa Cha kushangaza kafika tu siku ya Kwanza nyumbani baba akaniita pembeni baada ya kumwona akaniambia mwanangu hapo ndio unaoa?? nikastuka Sana aisee Mzee kawaza ninii hadi kanimbia maneno hayo nikamwambia hapana nipo nae tu kwa ajili ya kumlea mtoto
Baada ya kutoka kwa wazee picha ndio likaanza ,
Mimi nikiwa kazini huku nyuma anamwacha mtoto na binti mwenye Nyumba na yeye anatoka Mimi sikujua kipindii chote Sasa siku hiyo nimerudi home mapema nakuta mtoto yupo peke ake nampigia simu hapokei, nikampigia simu mama ake nikamweleza akaniambia nimchukue mtoto nimpelekeee maana haishi mbali na sisii,
kufika kwa Bibi yake ananipigia simu eti alikua buchani analia ananiomba msamaha hataki kwenda mama ake anaogopa,nikasema anyway nikambeba mwanangu nikarudi om namkuta kakaa nje analia kapiga na magoti nimsamehee,nikasema poa usiwaze nikaingia ndani nikamlaza mtoto nikatoka nikaenda kula masanga nilivorudi nikafunga mlango na funguo nikachukua mkanda nikamwambia nieleze ulikua wapii??
Nilipiga Sana aisee sijawahi kupata hasira Kama ile toka nizaliwe hakyamungu,basi ikaenda maisha yakawa yanenda mtoto akakua fresh akaniomba Pesa ya kufanyia biashara mama ake anameza kwenye soko kubwa hapa mjini nikaenda kushauriana na mama ake akanimbia nimpatie yeye atakua anaenda kumnunulia vitu pia atamtafutia na meza pale sokoni mwanaume nikajipinda nikampatia mtaji, mtoto akawa asubuhi anamwacha kwa Bibi Kuna msichana kule anashinda nae jioni anaenda kumchukua picha linaanza kila nikirudi pochi mpya kabatini, kila siku kabadili nywele ingawa kila siku lazima niache Pesa za matumizi,Sasa ikawa kila siku Mimi ndo nakua wakwanza kurudi nyumbani yeye ndio anafuata ikawa chakula Cha usiku ni chips tu .
Sasa kutokana na kua nilishamjua toka mwanzo nilishajipanga kisaikolojia basi ikawa inaenda anatoka kwenye shughuli zake mapema Ila mtoto anenda kumchukua saa 5 usiku hadi harudi om saa 6 usiku nikamweleza mama ake akakaa kuongea naee ila ndio ikazidi hiyo tabia
Sasa toka aanze biashara zake hajaawai hata pampus za mtoto hajui kununua ni Mimi na mama ake ndio tunakazi ya kumlea mtoto Sasa Kuna siku nipo ofisinii narudi jionii nakuta kochii tu nguo zimetupwa ovyo kila kitu kimebebwa ikabidi nitoke nikale bia Kwanza akili itulie,nikampigia simu mama ake Mama ake ni mama mpole Sana na mwelewa Sana akanimbia tulia vitu vyako vipo kesho njoo uchukue maana na mimii nimeshtuka nimerudi nimekuta vitu akanipa pole ,Ila baada ya kutulia kidogo nikarudi kulala ila nikampigia simu mama angu nikamweleza hakuaminii..
WHO IS BEHIND KWA BABY DRAMA Mama huyu stay tuned

hatari