Sehemu ya 3:
Baada ya mama kunipa pole nikaendelea na Mambo yangu,palipokucha nikaita kiyoriyori hadi kwao nikamchukua na binamu yangu kwenda kupakia,kufika tunaambiwa wamesafiri wameenda kaskazini msibani na waameacha maagizo nirudi kuchukua vitu hadi watakaporudi nikapandwa na hasira Kuna chumba Cha nje nikachungulia nikaliona kabati langu na fridge langu nikasema na hali hi y mjomba magu niache vitu kiurahisi hivii nikataka kuboamoa mlangu binamu angu akanikatazaa
Nikakumbuka hapo karibu Kuna mama ake Mdogo yupo anaishi nikamfuata maana anajua kilichotokea akampigia simu mdada wao akanipaatia funguo,kuingia ndani nakuta kabati tu na fridge vingine aliamishia Nyumba kubwa mfano kitanda,godoro,jiko lagesi tv vyombo vya kupikia radio na Kuna Amana Mzee wangu alinipa nikae nazo zilikua kwenye kabati zote kazifungi ndanii,akili ikawa hainipi niondoke na kabati na fridge tu nikasema hapana nikamsukuma binti nikaingia ndani nikakuta jiko la ges lipo jikoni uzuri kumbe vile vitu alimishia kwenye chumba anacholala Mdogo ake wa kiume nikabeba nikaondokaa
Walivorudi mama anapiga simu nimevunja nimetukana sijui blablaa kibao anataka kunipeleka polisii mi nkamwambia nipo tayrii
Ikaenda upepo ukatulia shida sasaa ikawa kwenye matumizi ya mtoto Mimi nikamwambia mama ake matumizi sio shida nitakua namtumia yeye sio mama was mtoto
Nikawa natuma matumizi kumbe nikituma mama anatoa anampa mama wa mtoto afu Mama wa mtoto hanunui vitu wala ninii anaenda kula bata
Siku naenda kumwona mwanangu machozi yalinitoka nimekuta mtoto hana pamps,kachoka mtoto sio yule nilikua naishi nae hata wips hana mtoto humwangalii Mara 2 roho iliniuma Sana sitasahau ile siku nikampigia simu mama angu akanimbia nimchukue kesho yake nimpeleke mkoa alipo yy
Lakini Kuna dada angu mkubwa alikua yupo hapa mjinii nikaenda kumchukua amwone mtoto alivochakaa,Sasa kabla ya kwenda kumchukua dada nikaongea na shemeji angu ambae Mdogo wa mama wa mtoto pamoja na yule dada anaemwangalia mtoto nilioskia ni makubwa na nilikua nawarecord hawajui
1)mama wa mtoto anaweza kukaa nje siku 5 hajrudi nyumbani
2)Pesa nilizokua natuma hanunui mahitaji ya mtoto anaenda kulia bata
3)anaeza akarudi saa 8 usiku asimshike mtoto anaogopa
4)akiamka asubuhi hana habri ya hata kumsaidia binti yule yy yupo bize na simu tuu hata kumwandalia mtot uji hawezi na mtt ana umri wa mwaka 1.5
Nilivorecord yale maongezi nikamrushia mama angu nikamfuata dada angu lakini kichwani nasema timbwili ninaloenda kuleta leo kwao wapo kuita polisi maana haiwezekani nipigike nitume matumizi halafu mtoto hapewi hudumaa
Itaendelea
Vijana njoo mjifunze sio kila sehemu mnadumbukiza tu yamenitokea mwenzenu mnivumilie maana naandika hi hata mwanangu akiwa mkubwa nimwoneshee
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app