Sawa tutaondoka wote, una gari?

Mbona katika msisitizo wako ni kama unasisitiza watu wanunue magari badala ya kusisitiza wanapotoka watoke na magari yao...... Ili wakikutana na manzi mkali wasijeaibika kama wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
umejua kufanya nicheke siku ya leo mleta mada anasisitiza sana kununua gari ila siyo kutoka na gari,😀😀😀😀😀😀😀
 
Umeharibu hapo uliposema ngoma ya diamond nikaacha kusoma na kesepa zangu.
 
Back
Top Bottom