Sawa tutaondoka wote, una gari?

Ushauri wa kufanya kazi kwa bidii ni mzuri. Ila kwa huyo demu inaonekana alitake advantage kwakua humfahamu. Na huenda aliwakataa hao ambao uliona amekataa kucheza nao huenda anafahamiana nao.
Baada ya kucheza ulinunua vinywaji na chakula, hicho ndicho alichokitaka kutoka kwako.

Hao tunaita mapaka ya bar

Sent using Jamii Forums mobile app
Demu hata hakuwa mwenyeji club hiyo..halafu hana njaa mzee katika story alisema yeye ni mfanyakazi mahali fulani siyo vizuri kupataja hapa
 
Aaa gari tu. Mbona naionea kalaa sana. Mara u pack, mara liko nje wasiwasi, mara traffic,mara ukwepe walevi bodaboda, mara pancha, mara haliwaki yaani tabu tupu! Lkn km una hela yako safi sana, likikwama unabadilisha usafiri. Sasa mimi gari ni mzigo bora niweke dereva.
Dem mpenda gari ni limbukeni hela kwanza.
 
Umenikumbusha mbali miaka ile nilipofanikiwa kununua gari, Nissan moja kali sana V6. Niling'oa tu plug moja nilizunguka nayo wk nzima kuitafuta Kariakoo.. Ilikuwa ni plug ya vichwa vinne.. Ile gari ilikuwa inakimbia ka unyoya... Kuna dada nilimpa lift kutoka Moro, ndani ya dk 45 tushaikamata Chalinze.. Alipigia simu rafiki zake wote kuwajulisha juu ya raha anazopata kwenye safari ile.
Kweli usafiri ni kitu cha muhimu kwa kijana wa kileo.
 
Mshukuru Mungu kwa kua alikuepusha na majanga ya kupata madhara km Ukimwi siku hiyo,

Kwani mademu wazuri ndyo wanawafanya wanaume mfanye kazi kwa bidii? Aisee fanya kazi kwa faida ya future yako na generation yako
 
Mmmh shukuru mungu ulikiacha kigari chako nyumbani, hiyo gari ingepigwa siku hiyo, huyo demu ni mwizi wa magari 😂😂😂
Kweli kabisa na huo ulikua mchongo, rafiki zake mdo walikua watoa taarifa muhimu za uelekeo wenu kwa majamaa pale kati. Amini na ufurahi kwa kila jambo linapotokea kwa muda husika, mfano ulifurahi sana kupata buridani na hao warembo ila ukachukia baada ya kumkosa hilo nalo la kushukuru kw mana siku ilipita salama. Sasa fikiria ungeamka na majanga au kufariki kabisa????!!!!!!! Muhimu kua na uhakika w chombo binafsi cha usafiri kwa matumizi yetu ya kila siku lkn sio sababu ya kupata hadhi ya kuweza kuchukulia wanawake. Mind yourself, life's full of suprises.
 
Ushauri wa kufanya kazi kwa bidii ni mzuri. Ila kwa huyo demu inaonekana alitake advantage kwakua humfahamu. Na huenda aliwakataa hao ambao uliona amekataa kucheza nao huenda anafahamiana nao.
Baada ya kucheza ulinunua vinywaji na chakula, hicho ndicho alichokitaka kutoka kwako.

Hao tunaita mapaka ya bar

Sent using Jamii Forums mobile app

WANAZUA SABABU USIENDE KUMLA KATIKA HATUA ZA MWISHO,HUKU WAKIKUACHA HUNA KITU HATA UKISEMA UANZE PROCESS ZA KUTAFUTA MANZI NYINGINE HUWEZI MAANA PESA INAKUWA IMEKATA KWA MALAYA MJANJA ANAYEPENDA KULA VYA WATU AFU ANAZUA VISABABU VISIVYOKUWA NA MAANA KISA TU USIMGUSE,HAWA WA STYLE HII NIMESHAWAPA VITASA SANA TENA SANA MJINI NA KOTE NIPITAPO.WANAPENDA VITONGA UTAFIKIRI WANATAFUNA PESA ZA BABA ZAO NA MAMA ZAO.
 
Mjita kwenye ubora wako,
 
Back
Top Bottom