Sawa tutaondoka wote, una gari?

Wazee tafuteni hela mnunue magari,ni muhimu sana kuliko mnavyochukulia.

Siku moja niko zangu club moja hapa mji pendwa unaoongoza kwa raha za kila aina hapa Tanzania.Mara hatua kama 5 hivi nikamuona mrembo matata mwenye shepu ya kike hasa, sura yenye kuvutia na rangi ya kichaga kaketi pekee yake huku anakunywa dompo taratibu bila papara basi moyo ulipasuka vibaya kumbe si mimi tu niliyemuona kila mwanaume alikuwa anamkodolea macho alionekana ni mdada anayejielewa siyo kama wengi wa wadada wa club za hapa mjini ambao wengi wao wanaenda kudanga basi nikawa namlia timing tu, kilichonipa hofu kila mwanaume aliyeenda kukaa naye au kumsemesha wala hakumjibu kitu aliwaangalia tu mpaka walipoondoka wenyewe.

Basi Dj akagonga ngoma ya Diamond ft Fally Ipupa inama demu akasimama akaanza kucheza taratibu..dah lile shepu na kiuno chake tu balaa..midume kibao ikamfuata lakini hakukubali kucheza na mtu basi nikajisemea moyoni ngoja na mimi nimfuate nione atakataa kucheza na mimi!!kijana nikasimama nikajiangalia kwanza(offcourse am a gentleman) nilipiga jeans yangu nyeusi,tisheti nyeupe na raba nyeupe shingoni cheni kiaina na mwili wa mazoezi kwa mbali nikaanza kucheza style anayocheza yeye huku namsogelea taratibu bila uoga yaani as if tunajuana huku natabasamu yaani nafurahia wimbo mara tukakutanisha macho demu akatabasamu pia kwa wanaoujua wimbo kuna sehemu wanasema ale inamaa hebu pinda mgongoooo ile anainama tu nikashika kiunooo kiuno laini kileee mtoto ndo akaongeza kukipinda sasaa.

Basi tu shorten za story tukaendelea kucheza pale huku kila mwanaume anashangaa nimewazaje kucheza na yule yaani macho yalikuwa kwetu dada anajua kucheza na mimi najua kiasi chake..kumbe yule dada alikuwa anawasubiria rafiki zake mara wakafika wadada wawili wakajiunga na sisi pale,akanitambulisha as her new friend kijana nikawa nashika viuno vya wadada watatu kwa raha zangu nikawaongezea vinywaji pale na baadaye makange ya kuku demu naye akawa anaongezea vinywaji pale yaani hana njaa..basi siku yangu ikawa tamu kweli kweli.

To shorten the story,

Mida ya saa 9 hivi demu akaniambia kachoka hivyo wanataka wakapumzike,so anashukuru sana kwa kampani yangu ameenjoy mno!

Nikajisemea moyoni hivi namuachaje aondoke hivi hivi?nikamwambia hata mimi nimeenjoy sana,sikutegemea kama siku yangu ingekuwa tamu hivi yaani umenipa kitu sikutegemea basi akaniangalia na kutabasamu huku ananilalia begani nikamwambia hakika nimefikiria mengi kuhusu wewe natamani tukapumzike wote ili nikueleze ni yapi?demu akawa hanijibu kitu nikajua ishakula kwangu nikaendelea kuongea maneno kibao ya kutoa aibu na kupotezea mada ya kupumzika wote mara akaenda kaunta akaomba kihandbag chake akarudi akaniegemea begani na kutoa funguo za gari kwenye kile kihandbag akampa mdada mmoja kati ya wale marafiki zake na kumwambia utaenda na gari yangu nitaikuta kesho kwako halafu akawaaga marafiki zake na kuniambia twende, basi nikawaaga wale wadada kwa tabasamu zitoooo najua nishamaliza kazi...

Kabla ya kutoka mlango wa mwisho wa club akaniuliza una gari? nikajibu ndio ninalo ila nimeliacha nyumbani sijaja nalo hapa club...mdada akaniangalia kisha akaondoka kimya kimya kurudi club,nilibaki pale nikijua kwamba kafuata funguo ili tuondoke na gari lake...huwezi kuamini demu hakurudi tena pale...ukweli ni kwamba gari ninalo na nililiacha nyumbani siku hiyo maana lilikuwa na shida kidogo,roho iliniuma nikarudi club sikupata tena nguvu ya kumfuata yule mdada...iliniuma sana maana huyu demu niliwaza hata kumuoa kama mambo mengine tungematch.

Ndg zangu wanaume fanyeni kazi kwa juhudi,nunueni gari zinasaidia sana katika maisha ya kila siku...achaneni na misemo ya kuwa hakuna baba mwenye gari ila kuna baba mwenye nyumba tu...ukiwa na gari status inapanda mno kuliko mwenye nyumba japo nyumba ina thamani kubwa...hata kipindi hiki cha corona umuhimu wa gari binafsi umeonekana.

Asanteni sana.

So hongera kwa gari yako kuharibika ulikiwa ni mpango wa Mungu kwa wewe kusalimika.sababu bado unahitajika sana na familia yako na ndugu zako.

Kwa mpango huo magari siyo ya maana sababu yanasababisha matatizo.imagine ungekuwa na gari ungepeleka kwako jitu uliloliokota porini hujui kama ni jambazi au ni dubwasha gani

Ulivyoandika unaonyesha kama vile ulikuwa umepata kitu kumbe ulikuwa umepatikana wewe,na bahati yako!
 
Mimi mtu anayenidharau sina gari bila kujua akaunti yangu ya benki ina pesa kiasi gani na namiliki assets za aina gani namuona limbukeni tu.
Mkuu wala usiumie kutokuwa na gari kwa sababu ya huyo mdangaji.
Huyo sio wife material wala hafai kudate naye kwa kipindi kirefu,mtu anayefaa kuwa mke hawezi kuangalia gari kama first priority.
 
Mshukuru Mungu kwa kua alikuepusha na majanga ya kupata madhara km Ukimwi siku hiyo,

Kwani mademu wazuri ndyo wanawafanya wanaume mfanye kazi kwa bidii? Aisee fanya kazi kwa faida ya future yako na generation yako
Well said.
Kufanya kazi au kufanya maendeleo kwa ajili ya demu ni ujinga uliopitiliza
 
WANAZUA SABABU USIENDE KUMLA KATIKA HATUA ZA MWISHO,HUKU WAKIKUACHA HUNA KITU HATA UKISEMA UANZE PROCESS ZA KUTAFUTA MANZI NYINGINE HUWEZI MAANA PESA INAKUWA IMEKATA KWA MALAYA MJANJA ANAYEPENDA KULA VYA WATU AFU ANAZUA VISABABU VISIVYOKUWA NA MAANA KISA TU USIMGUSE,HAWA WA STYLE HII NIMESHAWAPA VITASA SANA TENA SANA MJINI NA KOTE NIPITAPO.WANAPENDA VITONGA UTAFIKIRI WANATAFUNA PESA ZA BABA ZAO NA MAMA ZAO.
NDIO HIVYO MKUU WEWE NI MKONGWE WA HAYA MAMBO.
MTOA MADA ALIJIONA MJANJA KUKUBALIWA KUCHEZA NAYE NA KUKAA NAYE MEZA MOJA KUMBE ILIKUWA TIMING TU.
NA UKICHUKUA NAMBA YAKE YA SIMU KESHO YAKE UKIPIGA ANAJIFANYA HAKUJUI KABISA UNAKUWA UMELIWA.
 
NDIO HIVYO MKUU WEWE NI MKONGWE WA HAYA MAMBO.
MTOA MADA ALIJIONA MJANJA KUKUBALIWA KUCHEZA NAYE NA KUKAA NAYE MEZA MOJA KUMBE ILIKUWA TIMING TU.
NA UKICHUKUA NAMBA YAKE YA SIMU KESHO YAKE UKIPIGA ANAJIFANYA HAKUJUI KABISA UNAKUWA UMELIWA.
HAWA WA HIVI WABAYA SANA...UKIWA BOYA UNAACHA LAKI MEZANI....TENA UNAKUTA YULE DEM ALIPOMUONA JAMAA KAJA AKAITA NA MARAFIKI ZAKE WAJE KUMTOBOA WALLET....MWISHO WA SIKU UNAMSHIKA ANASIKIA RAHA NA HELA UNAMPA NA K HUPATI
 
NDIO HIVYO JAMAA NI MGENI WA HAYA MAMBO WALIMCHANGANYA KWA SAUTI NYORORO AMELIPIA BILI ZOTE.
MWISHO WA SIKU AMEMKOSA AKADHANI NI BAHATI MBAYA KUMBE MCHEZO ULISHAPANGWA TAYARI
HAWA WA HIVI WABAYA SANA...UKIWA BOYA UNAACHA LAKI MEZANI....TENA UNAKUTA YULE DEM ALIPOMUONA JAMAA KAJA AKAITA NA MARAFIKI ZAKE WAJE KUMTOBOA WALLET....MWISHO WA SIKU UNAMSHIKA ANASIKIA RAHA NA HELA UNAMPA NA K HUPATI
 
NDIO HIVYO JAMAA NI MGENI WA HAYA MAMBO WALIMCHANGANYA KWA SAUTI NYORORO AMELIPIA BILI ZOTE.
MWISHO WA SIKU AMEMKOSA AKADHANI NI BAHATI MBAYA KUMBE MCHEZO ULISHAPANGWA TAYARI
MBAYA ZAIDI ALIRUDI CLUB KUSUBIRIA BOYA MWINGINE KAMA YEYE AJE....WALE MARAFIKI ZAKE SIO KWAMBA WAMEENDA NYUMBANI NA GARI LAKE...NO,,WALE WAKO SEHEMU WANASUBIRIA KUSHTULIWA KAMA KUNA BOYA MWINGINE AMEJILETA..

INSHORT HUYO DEM YUPO KAMA CHAMBO KWASABABU YA UZURI WAKE NA NINA UHAKIKA 99% WALE MARAFIKI ZAKE NI WABOVU KINOMA(KUNJAMBWA)

AMBAO WANAJUA WAO HAWAWEZI KUPATA DANGA KIRAHISI
 
HAHAHAHA NIMEKUVULIA KOFIA UNA MACHALE SANA.
YAANI NI HUMO HUMO WALA HUJAKOSEA.
INAHITAJI AKILI NYINGI SANA KUZISHTUKIA HIZO HESABU.
JAMAA ALIJIONA AMEPENDWA ETI
MBAYA ZAIDI ALIRUDI CLUB KUSUBIRIA BOYA MWINGINE KAMA YEYE AJE....WALE MARAFIKI ZAKE SIO KWAMBA WAMEENDA NYUMBANI NA GARI LAKE...NO,,WALE WAKO SEHEMU WANASUBIRIA KUSHTULIWA KAMA KUNA BOYA MWINGINE AMEJILETA..

INSHORT HUYO DEM YUPO KAMA CHAMBO KWASABABU YA UZURI WAKE NA NINA UHAKIKA 99% WALE MARAFIKI ZAKE NI WABOVU KINOMA(KUNJAMBWA)

AMBAO WANAJUA WAO HAWAWEZI KUPATA DANGA KIRAHISI
 
mkuuuu kwanza nakufaham huna gari jitahidi sana cheza kamali vzr ipo siku utashinda ununue crown pole sana
 
Back
Top Bottom