So happy to see you back.
Karibu tena best. Missed you a lot hadi nikawa nakufuate kuleee
Miss you too
Pole zako, natumai hayo machozi yanatokana na kumkumbuka ex Mupenzi.
It hurt yes but you should feel proud...to love someone is so human..and if that love cause pain ..well its not your fault...you are a good person...and to fall in love is natural
ahsante,natamani afike upesi nisahau mateso mimi jamani
Hahahah, miwivu tu. Mgomo wa kunichunia umeisha?
yah,a part of me feels so,kinachoniumiza why am i failing all the time,and can't keep a man,situation kama hii imehappen last year,na kosa langu silijui,hata nikiuliza wahusika sipati jibu wanajiskia vibaya wenyewe for hurting me....ts a mystery,sielewi kabisa
Bidada, you are better than this. Inatosha kusononeka, na next time make yourself rare ili afanye kazi ya kukumaintain.
Hizi 'l am nothing without you' au matendo yanayoashiria hivyo huwacost sana mabinti. Make him feel like he cant live without you.
So happy to see you back.
Karibu tena best. Missed you a lot hadi nikawa nakufuate kuleee
Kweli charty kuna umri ukifika..jinsi ya kutazama mambo inabidi inabadilika..sema jamii na mzingira yanayozunguka watu wakati mwingine inakuwa shida..Mie mwanzoni walinipumbaza sana ila saiviii nimeshtukia mchezo...UA right siafu dume
Sio km namkumbuka ila basi tu sijui nauonaje....nilishamsahau niko nasonga mbele. Tena nafasi yake ilishazibwa
Miss u too Best...Hapo kweye rangi imebidi nicheke tu lol!!!! Hahahahahaha sasa unafuata watu kimya kimya bila hata kuwajulisha ili wakuangalie kundini banaaa πππ Siku nyingine ukija mitaa ile nistue nitafurahia kukuangalia huku na kule ili nikujulie hali.
amen,i hope he comes
sasa kama ni mtu ambae sina hzo swaga ni mimi,mapenzi ya kumganda sana mwanaume is not my thing,mana mi mwenyewe nakuwaga busy,na nnafanya smtym makusudi mana najua how boring it gets kuwasiliana kila saa
poa will do that, na nitakujulisha id ya kule.