Bosala Bokungu
Member
- Mar 30, 2018
- 62
- 57
Taifa(Nation) ni umoja wa jamii mbalimbali ndani ya nchi moja. Lengo la taifa ni kutofautisha jamii fulani za nchi na za nchi nyengine na hili taifa liendelee ni lazima watu wa jamii hizo kukubali kwa ridhaa zao wenyewe kuruhusu maendeleo yatokee.
Maendeleo hufanyika kwa hatua ndio maana mataifa yamegawanywa kwa aina tatu kulingana na levels of developments. Kuna first world countries(Nchi zilizoendelea),second world countries (Nchi zinazoendelea) na third world countries(Nchi ambazo hazijaendelea). Kuna kipindi mataifa yote ya dunia hii hayakua na maendeleo nikimaanisha tulikua sote tuko kwenye underdeveloped countries.Viongozi wa mataifa yaliyoendelea walijenga muonekano wa nchi zao wakieka magoli ya milenia,wananchi waliwasapoti viongozi wao wakajitoa kuisikiliza serikali iwaongoze kwenye maendeleo,watu waliumia mmoja mmoja ili taifa liendelee.
Tanzania ya viwanda na uchumi wa kati kufikia 2025 inawezekana kama serikali ikipewa sapoti na watanzania.Nchi zilitekeleza mipango ya miaka 200 sisi hatushindwi kutekeleza mipango ya miaka ya 7.Serikali inahitaji vyama vya pinzani vitakavyokua vinatekeleza itikadi kwa sera ili iendelee na sera za mbizani hutumika kama changamoto kwa serikali kama vinatekelezeka ,lakini nchini vyama vya pinzani ni washindani wa chama tawala.Badala ya kuleta sera za Mendeleo wamejikita kwenye udhaifu wa raisi,hakuna mtu asie na mapungufu na leo hii hata tukisimamisha raisi wa chama pinzani akitokea mwanasiasa wa kupiga debe mapungufu ya raisi atayapata kwa kua kila binadamu anayo.Nawasihi upinzani wajikite kwenye hoja za msingi za maendeleo kuepusha chuki baina ya watanzania Taifa letu liendelee.
Demokrasia ni kigezo muhimu kwa nchi iliyohuru ila demokrasia ikitumika vibaya huaribu mwenendo wa maendeleo ya nchi.Tunaposema "freedom of speech", uhuru wa kuongea una maana(niruhusu niongee na mimi nikuruhusu uongee kwa kua tuna mawazo tofauti na sote tuna haki sawa kikatiba),kwa dhana hii "freedom of speech" haimpi mtu nguvu ya wewe kumtukana mwenzako kwa sababu unayemtukana ana uhuru wa kuongea pia yale usiyoyataka wewe,tusitukanane tuheshmiane lengo letu ni kuenga sio kubomoa,ukiwa unataka uikosoe serikali kuna hatua sahihi zinafuatwa na kuna mamlaka na wahusika.
Serikali ina jukumu ya kulinda hali ya usalama wa taifa lake ili iendelee,kama vyombo vya habari vinatumia "freedom of speech" kuuliza maswali yanayochafua taswira ya nchi,kama vyombo vya habari vinachotoa kwa wananchi ni habari chafu tu zinazochafua nchi,kama vyombo vya habari vinajikita zaidi kwenye propaganda hio ni kinyume na maadili na kila taifa lina nguvu ya kukifungia chombo chochote cha habari vile vile mitandao ya jamii.Kama wanasiasa wanaitumia siasa vibaya kupandikiza chuki watu kudai demokrasia ambayo wao wenyewe wanaitumia vibaya serikali ina wajibu vile vile kupambana nao kulinda maslahi ya taifa.Democracy ina mengi zaidi ya kuruhusu watu watukanane na kupandikiza watu imani ya kuichukia serikali.
Mwisho kabisa hakuna taifa lilioendelea bila watu kuumia fikiria tu baba wa familia akiwa ana jenga nyumba,hata maisha ya familia hubadirika,matumizi yanabanwa ili kutimiza malengo ya familia na lengo kubwa ambalo ni kujenga nyumba.Ila nyumba ikikamilika na maisha yanabadirika.kuna msemo wa kingereza unasema"Rome was not built in a day" na napenda kumalizia kwa kuwasihi waTanzania wenzangu sisi sio congo,Somalia,Libya etc sisi ni waTanzania tuliopata uhuru bila kumwaga damu,tuacheni tofauti zetu tulijali taifa letu kwa kua na imani na serikali.Tunaona kwa macho yetu miradi ya maendeleo inazinduliwa kila siku na inaanza kutekelezwa papo hapo ni kitendo tu cha kua wavumilivu 2025 sio mbali.
"Development is not an overnight process and Development never comes out of your society,people with in a society have to agree to develop their own society"
Ukiwa na maswala ya uvyama,upinzani,udini, naomba usijusumbue kucomment, tujadili utaifa wetu !!