Sauti......................... ........

Juu juu ndo poa....
Halafu kuna kitu Uporoto alikisema siku moja kabla kikao cha kupanga kamati....Mnakumbuka wewe,Mtei na SweetLady?

hicho kikao nakumbuka sikukaa...Amyner aliniomba nimkampani sijui wapi...kama sio DAWASCO...sijui
 
Mimi sauti yangu nzito kama ya Barry White...wataka nije nikuimbie mwimbo gani Dena Amsi!.
 
Uporoto hujambo?
Hivi hata sauti si kitu unazaliwa nacho au?
Sijambo dear kuna watu wana sauti kubwa ambao hawajiamini. Nakutumia my other no. sijasikia sauti yako in a long time namba ile ingine ilipata hitilafu hope your ok.
 
Dah! mtoto wa kiume lake base bwana usidanganyike!sauti nzito inahamasisha nyie duh! wenye sauti za kama wanabana pua pole zao aisee! lazima watakosa comfidence tuu!
 
Dah! mtoto wa kiume lake base bwana usidanganyike!sauti nzito inahamasisha nyie duh! wenye sauti za kama wanabana pua pole zao aisee! lazima watakosa comfidence tuu!

Umeonaa eeehhh
 
DA mambo,

Dahhh sijawahi kukutana na mwanaume ambae yuko insecure with his voice.
Ila kwa kipande kingine vijina wenye sauti nzito wanavutia sana.

Poa maza anakutafuta home hujalala home siku tatu nasikia.

Basi una bahati wanatia huruma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…