Sauti......................... ........

hivi mstari wa mbele kwenye kwaya wanakaa sauti ya sita eeh?
Ndio, kanisani kwetu tuko kinyume kidogo, wanaanza sauti ya 6, 5, 4, 3, 2 mwisho kabisa sauti ya kwanza...lol

Afu BAGAH umewahi kupigwa?
 
BAGAH , Nimekusoma , uko kitaaluma zaidi .
 
Mwanaume akiwa na sauti nyembamba sana anatia huruma akiongea....inakuwa as if analazimishwa kuongea..
 
Mwanaume akiwa na sauti nyembamba sana anatia huruma akiongea....inakuwa as if analazimishwa kuongea..

anatia huruma eeeh?so akija kiivyo unaweza ukamuonea huruma sio?
Myner mamboz?
 
Mi nadhani inategemeana na mtu mwenyewe,wapo wenye sauti ndogo lakini wana roho ngumu na wako wenye sauti kubwa na ni waoga pia,ila wenye sauti kubwa huwa wakiongea wanapewa attention kutokana na sauti ndo mana.
Hivi baba wa taifa ana sauti ipi?

Ana sauti kama yangu tu.
 
Ndio, kanisani kwetu tuko kinyume kidogo, wanaanza sauti ya 6, 5, 4, 3, 2 mwisho kabisa sauti ya kwanza...lol

Afu BAGAH umewahi kupigwa?

toba!kinyume tena?...afu jiangalie SL!
jina lako ndo nani tena kwa kiswahili?
 
Mwanaume akiwa na sauti nyembamba sana anatia huruma akiongea....inakuwa as if analazimishwa kuongea..

Kama yule alyekuwa ana apologize kwa demu wake pale Mbalamwezi juzi. Mi nldhan mdada ndo anaomba msamaha. Kuja kupga jcho ndo nkaona ni mwanaume lol
 
anatia huruma eeeh?so akija kiivyo unaweza ukamuonea huruma sio?
Myner mamboz?

Pouaz b.. Mzima wewe? Inategemea.. Naweza nkamuonea huruma kama alitaka nimkopeshe hela ntamkopesha..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…