Sauti ya nimechoka kwa mwanamke during sex ina maana gani?

Hivi kuna wapuuzi kufanya mapenzi mpaka wapake vumbi la kongo ?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine wanachoka kweli ila wengine ni kwasababu hana hisia nawewe kwahyo anaona kero tu kuendelea na hawezi kukuambia direct inambidi aseme amechoka.... wanawake mchangie zaidi kuhusu hili
 
1. Mwanamke ana mawazo

2. Mwanamke stress kibao

3. Ana matatizo ambayo yamemshika hadi roho yake.

4. Mwananke hana pesa .


Usifanye na mwanamke mwenye hayo mambo manne hapo juu.. akiwa mnafiki atakusifia lakini hakuna mwanamke anaweza furahia kama ana mambo hayo hapo juu.
Wakuu naomba Kuuliza ukisikia ke anasema amechoka time ya sex ina maana gani na unatakiwa uchukue hatua gani kipind cha sex?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…