Hawachelewi😂Ngoja waje waseme hizo ni picha za 2015.
leo naona hakuna polisi,, imekuwaje Mshana Jr wako vichochoroni pamoja na kunyimwa uwanja lakini watu wamewafuata walipo. Ishara ya Mungu kwa na chadema
CDM tukulooo!Kibali chochote kile kikubwa Hushuka kutoka kwa Mungu! Pamoja na yoote dhidi ya Chadema - haya ndio majibu ya Mungu kwa watu wote wanaojaribu kukibomoa Cham hiki?
Sauti ya Haki ni Sauti ya Mungu. Arusha Mjini.View attachment 3348956
Ngoja mbubujikwa machozi aje akwambie hizo picha ni za 2015😁😁Kibali chochote kile kikubwa Hushuka kutoka kwa Mungu! Pamoja na yoote dhidi ya Chadema - haya ndio majibu ya Mungu kwa watu wote wanaojaribu kukibomoa Cham hiki?
Sauti ya Haki ni Sauti ya Mungu. Arusha Mjini.View attachment 3348956