Sauti ya kike inanipa kiwewe.

Sauti ya kike inanipa kiwewe.

interesting!! thx for info..... is it done kwenye boys schools only au hata mixed gender schools?
Hiyo shule zote zile za jinsia moja...kwa hiyo madada wa Msalato, Nganza, St. Francis n.k jumlisha na zile njemba za Ilboru, Mzumbe, Bwiru Boys, Tabora Boys hii kitu tumekula sana
 
Umesema unaogopa kutoenda mbinguni..kwa maana hiyo unazinio ndani ya moyo wako kupitia sauti za mabinti..tayari ushaenda jahanamuu..we katubu tu hapa JF unazidi kubainisha zambi zako
 
mie nimesoma shule ya mcchanganyiko mkuu, huo ndio ulikuwa mwendo wetu..............wavulana na wasichana wote tunapigishwa mandondo yennye mafuta ya taa..........
interesting!! thx for info..... is it done kwenye boys schools only au hata mixed gender schools?
 
pole sana but ni hatua ya kukua hiyo mimi ndo nilikuwa mwalimu wa mambo hizo kwa hiyo itapita tu hiyo hali.
 
uwe unanyunyuzia kidogo Mafuta ya Taa katika misosi yako...

Nakumbuka tulikuwa tukiwekewa mafuta ya taa nilipokuwa Kwiro Boyz lakini siamini kama ndiyo hasa yanachofanya. Niliweza kutulia labda kwa kuwa nilikuwa nikipambana na PCB enzi izo. By the way, nitashinda hii vita maana shetani alishashindwa miaka lukuki iliyopita pale Kalvar
 
yeah best of luck
 
Back
Top Bottom