Acha Ushamba
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 202
- 78
Nipo hapa napiga mzigo mmoja hv!
Natumia laptop hp elitebook ya ofisi moja hv ya mshikaii wangu, mara taaa sauti ya laptop haipo!
Nikicheza cd sauti haisikiki!
Nikiwasha na kuzima hakuna sauti!
plz mwenye knowledge kidogo asaidie!
ahsanteni sana!