Msaada HP laptop Elite book ipo very slow

Mentality Trevor

New Member
Oct 30, 2018
4
20
Habr wanaZengo wa Jf, laptop yangu ya Hp Elite Book inamatatizo ya kuwa ipo very slow, afu ukiweka movie ina Stuck sana , lakn nimebadlisha HardDrive ya zamani 320Gb na kuweka 500Gb mpya afu pia nimeongeza Ram ilikuwa 2Gb na kuweka 2Gb nyingine hvo kuwa 4Gb lakn bado ipo very slow...msaada anejua njia yoyote ambayo naweza fanya ktk laptop hyo iwe Faster anisaidie au aniambie Fundi mzr wa hyo mazagaa....peace

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom