Sauti Huru: Kundi la Mbowe Lapanga Kummaliza Dr.Slaa

tatanyengo

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,134
280
Ni kwamba leo asubuhi nikiwa safarini mjini Dodoma nimesikia mapitio ya magazeti katika redio moja inayoitwa Impact FM, kichwa cha habari cha gazeti liitwalo Sauti Huru kimesomeka hivi 'Maskini Dr.Slaa, kundi la Mbowe lapanga Kummaliza, yumo Lema'.

Habari hiyo itakuwa imewashtua wanachama, wapenzi na watanzania wanaopenda mabadiliko. Hivyo naomba viongozi wa CHADEMA wasikubali kugawanywa na maadui wao kisiasa kwani CHADEMA kwasasa kinaonekana kuwa ni tegemeo la wanyonge.

Pengine hiyo ni mojawapo ya harakati za kutaka kukidhoofisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Ikumbukwe kwamba tangu mfumo wa vyama vingi uanze nchini, kila chama cha upinzani kinachoonekana kuwa na nguvu za kisiasa hutafutiwa mbinu za kukidoofisha.
 
Kuna magazeti mengine wala huwa sina haja hata kuyasoma yaani yamekaa kimagumashi tu,jamani kuna yeyote ambaye amewahi nunua gazeti hili?Maana ndio kwanza nalisikia leo.
 
Hii ndio style ya kushindwa kuangusha ukuta kwa ngumi. Du inatia raha kuona mtu anahangaika na hana pa kutokea!!
 
Makundi yapo sisiemu.! Chademja hatuna makundi,upumbavu wenu wakifisadi pelekeni huko kwa jeykey na magamba wenzake.
 
Ni kwamba leo asubuhi nikiwa safarini mjini Dodoma nimesikia mapitio ya magazeti katika redio moja inayoitwa Impact FM, kichwa cha habari cha gazeti liitwalo Sauti Huru kimesomeka hivi 'Maskini Dr.Slaa, kundi la Mbowe lapanga Kummaliza, yumo Lema'.

Habari hiyo itakuwa imewashtua wanachama, wapenzi na watanzania wanaopenda mabadiliko. Hivyo naomba viongozi wa CHADEMA wasikubali kuganywa na maadui wao kisiasa kwani CHADEMA kwasasa kinaonekana kuwa ni tegemeo la wanyonge.

Pengine hiyo ni mojawapo ya harakati za kutaka kukidhoofisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Ikumbukwe kwamba tangu mfumo wa vyama vingi uanze nchini, kila chama cha upinzani kinachoonekana kuwa na nguvu za kisiasa hutafutiwa mbinu za kikidoofisha.

Bado unalisikiliza hili gazeti? Hili lengo lake kwa Chadema sawa na Hoja, Fuatilia habari zao hutapara shida.
 
Mleta mada umeeleza like unaitakia mema cdm lakini wapi.THAT SHIT PEPA 'Z write nothing.hilo sio gazeti na mara nyingi hutumika kudevide and rule method,ndo wanayoitaka.
 
Duh CHADEMA sasa wameanza maskini Slaa!! wamekuweka kama chambo.
 
Siamini Mbowe atakuwa mjinga kiasi hicho. Slaa amechangia kwa kiwango kikubwa sana uhai wa chadema uliopo sasa na unaoendelea.kama kweli, hayo makundi ni pandikizi tu. CDM wanapaswa kuwa macho sana wakati huu kuliko kipindi kingine chochote kilichopita, kwani mgonjwa wetu mahututi ccm hawezi kuona ustawi wa CDM unaendelea kunoga. Watatumia kila njia ukiwamo uchawi, vyombo vya dola na mapandikizi kisiasa. Ole wenu CDM msipofungua macho na masikio yenu kila dakika na kujihami kwa busara na ukomavu wa uvumilivu. Vifo vya panzi ni furaha ya kunguru mgonjwa.
 
kama ccm wanachafuana wao kwa wao ndio itakua cdm...ugomvi na kutoelewana katika vyama ni jambo la kawaida...
 
Kwani si wanasema Slaa na Mbowe wako kundi moja? Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu
 
RADIO:IMPACT FM

GAZETI:SAUTI HURU
Hayo ni yako chadema ipo mmoja mtatumia kila mbinu haitagawanyika kamwe! mbinu zilizotumika NCCR,na CUF tunazijua kamwe hamuwezi kuzitumia kwa chadema!never divide and rule haiwezekani kwa peoples power!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom