YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,906
- 51,928
Uislamu hulenga mwanamke zaidi kumfanya kuwa mtumwa.Sheria za kiislamu.kwa mwanamke ni.kali mno Cha ajabu halazimiki kwenda kusali swala tano msokitini.Wanawake wengi husali siku ya Idd tu lakini siku zilizobali wanakuwa watumwa wa Sheria Kali za kiislamu