Saudi Arabia ruksa kwa wanawake na wanaume kutumia mlango mmoja mgahawani

Status
Not open for further replies.
Uislamu hulenga mwanamke zaidi kumfanya kuwa mtumwa.Sheria za kiislamu.kwa mwanamke ni.kali mno Cha ajabu halazimiki kwenda kusali swala tano msokitini.Wanawake wengi husali siku ya Idd tu lakini siku zilizobali wanakuwa watumwa wa Sheria Kali za kiislamu
 
Naona Wengi wanafurahia na ku-support Mabadiliko ya Baadhi ya Sheria Zao nchini Saudi Arabia

Mimi Si-Support ila Naona ni Muelekeo wa kufa kwa Uislamu
Maana Nchi ile ni ya Dini Moja
Na inaongozwa na misingi ya Dini ya kiislamu
Nashangaa Naona mtu anasema "wameanza kupata akili",mara Mwingne anasema "ule ulikua utumwa "
Kufuata misingi ya Dini yako ni kutokua na akili Au ni Utumwa ?

Dunian kuna Secrets Agenda nyingi ipo Siku itapitishwa sheria ya Ndoa za Jinsia moja na bado kuna watakao furahi

Hilo Swala halifurahishi bali linasikitisha Sana
.... wawape uhuru wanawake waache kuwageuza watumwa! Mbona nchi nyingine zenye mamilioni ya waislamu - Indonesia, Pakistan, Bangladesh, Malaysia, n.k. wanawake wako huru? Au wao hawaujui uislamu?
 
Anawafanyia diffusion kubwa sana ndio maana anawaruhusu wanunue makanisa na kuyageuza misikiti... Ameshaua ukristo sasa anakuja kwenye uislam
Uislamu hulenga mwanamke zaidi kumfanya kuwa mtumwa.Sheria za kiislamu.kwa mwanamke ni.kali mno Cha ajabu halazimiki kwenda kusali swala tano msokitini.Wanawake wengi husali siku ya Idd tu lakini siku zilizobali wanakuwa watumwa wa Sheria Kali za kiislamu
Assume wew leo unaanzisha dini... Dini yako itareflect tabia yako..kama ww ni mzinzi lazima dini yako uruhusu uzinzi na kama ww ni mbakaji wa watoto lazima uruhusu ubakaji...hivyo uislam inaonekana ulianzshwa. Na mtu aliependa kutumikiwa na wanawake na kuwamiliki wengi iwezekanavyo chini yake bila kujali umri rangi au Kabila.
 
Naona Wengi wanafurahia na ku-support Mabadiliko ya Baadhi ya Sheria Zao nchini Saudi Arabia

Mimi Si-Support ila Naona ni Muelekeo wa kufa kwa Uislamu
Maana Nchi ile ni ya Dini Moja
Na inaongozwa na misingi ya Dini ya kiislamu
Nashangaa Naona mtu anasema "wameanza kupata akili",mara Mwingne anasema "ule ulikua utumwa "
Kufuata misingi ya Dini yako ni kutokua na akili Au ni Utumwa ?

Dunian kuna Secrets Agenda nyingi ipo Siku itapitishwa sheria ya Ndoa za Jinsia moja na bado kuna watakao furahi

Hilo Swala halifurahishi bali linasikitisha Sana
Kuna mahala katika Qur'an inamkataza Mwanamke kupita mlango mmoja na Mwanaume?

Qur'an inakataza mwanamke kuendesha gari?

Uislam unakataza hayo kupitia maandiko ya kitabu kipi?
 
DUNIA INAENDA FASTA WAKATI NCHI YA KIISLAMU INARUHUSU WANAWAKE NA WANAUME KUTOKEA MLANGO
waruhusu kitimoto,waache kuamuabudu mungu jiwe wa makka na mwisho waache kumpiga mawe shetani.wabadilike tupilia kule mohammad,utafuataje mafundisho ya mtu aliyekuwa anabaka watoto?
KWELI DUNIA INAENDA MBELE WAKATI WAISLAMU WANARUHUSU WANAUME NA WANAWAKE KUPITIA MLANGO MMOJA WENZETU WAKO MBALI SANA WANAOANA WANAUME KWA WANAUME TENA KWENYE NYUMBA NYUMBA ZA IBADA KWELI MMEENDELEA.
 
DUNIA INAENDA FASTA WAKATI NCHI YA KIISLAMU INARUHUSU WANAWAKE NA WANAUME KUTOKEA MLANGO

KWELI DUNIA INAENDA MBELE WAKATI WAISLAMU WANARUHUSU WANAUME NA WANAWAKE KUPITIA MLANGO MMOJA WENZETU WAKO MBALI SANA WANAOANA WANAUME KWA WANAUME TENA KWENYE NYUMBA NYUMBA ZA IBADA KWELI MMEENDELEA.
Ni kweli Sheikh, ajabu sana hii.

Wakati huohuo IMAMU aliyejitangaza rasmi kuwa ni SHOGA aitwaye Abdullah Daaiye wa marekani anazidi kupokea waumini wengi sana katika msikiti wake.

Mwingine ni IMAMU SHOGA NUR WARSAME wa Canada naye ana waumini wengi mnoo.
images%20(52).jpeg
images%20(55).jpeg
 
Ni kweli Sheikh, ajabu sana hii.

Wakati huohuo IMAMU aliyejitangaza rasmi kuwa ni SHOGA aitwaye Abdullah Daaiye wa marekani anazidi kupokea waumini wengi sana katika msikiti wake.

Mwingine ni IMAMU SHOGA NUR WARSAME wa Canada naye ana waumini wengi mnoo.View attachment 1288416View attachment 1288417
TUNAJUA KWAMBA KAZI KUBWA YA UKAFIRI NI PROPAGANDA ZA UONGO DHIDI YA UISLAM KUHALALISHA UCHAFU WENU
 
Kuna mahala katika Qur'an inamkataza Mwanamke kupita mlango mmoja na Mwanaume?

Qur'an inakataza mwanamke kuendesha gari?

Uislam unakataza hayo kupitia maandiko ya kitabu kipi?
Hakuna Mahala hivyo vitu vimetajwa moja kwa moja ,Gari mlango nk

ila vinapatikana katika mfumo wa tafsiri
Yaani Mpk udadavuliwe ndio vinaleta maana ya kuto endesha gari kwa mwanamke

Mnataka Mambo ya Haki Sawa?50/50

I stand to be corrected
 
Kwahiyo dini ya kiislam inazuia mwanamke kuendesha gari?

Dini ya kiislam inazuia mwanamke na mwanaume kutumia mlango mmoja mgahawani?

Aya gan hebu ilete hapa

Alafu ile ni nchi ya wasaud siyo nchi ya waislam

Sawa jamaa yangu?
Naona Wengi wanafurahia na ku-support Mabadiliko ya Baadhi ya Sheria Zao nchini Saudi Arabia

Mimi Si-Support ila Naona ni Muelekeo wa kufa kwa Uislamu
Maana Nchi ile ni ya Dini Moja
Na inaongozwa na misingi ya Dini ya kiislamu
Nashangaa Naona mtu anasema "wameanza kupata akili",mara Mwingne anasema "ule ulikua utumwa "
Kufuata misingi ya Dini yako ni kutokua na akili Au ni Utumwa ?

Dunian kuna Secrets Agenda nyingi ipo Siku itapitishwa sheria ya Ndoa za Jinsia moja na bado kuna watakao furahi

Hilo Swala halifurahishi bali linasikitisha Sana
 
.... wawape uhuru wanawake waache kuwageuza watumwa! Mbona nchi nyingine zenye mamilioni ya waislamu - Indonesia, Pakistan, Bangladesh, Malaysia, n.k. wanawake wako huru? Au wao hawaujui uislamu?
Wewe ndio unaona kama hawako huru

Ndio pengine hawajui huo uislamu
Kwani Wakat Saudi wana inact hizo Sheria walikua hawajui kwamba Sio Sawa
Kwan mafundisho ya Quran yamebadilika ?
 
Mwanamke kuendesha gari haihusiani kabisa na uislam ni marufuku walioifanya wao tu
Kuhusu kwenda migahawani na kula hilo pia sio haram kwani kila nchi za Jirani zao zote wanakaa pamoja na kula
Kubadili mambo na kulegeza masharti ni sawa
Wanataka kupambana kiuchumi baada ya wazungu kuwapiga sana kwa ulinzi ambao hauna faida yoyote kwao ila kulipa mabilioni kwa kuwalinda
Yapo anayoyafanya MBS mabaya ila mengi ni kupaisha uchumi wao
Aliwafunga ndugu zake wengi na kuwaambia walipe billions kwani waliiba sana
 
Wewe ndio unaona kama hawako huru

Ndio pengine hawajui huo uislamu
Kwani Wakat Saudi wana inact hizo Sheria walikua hawajui kwamba Sio Sawa
Kwan mafundisho ya Quran yamebadilika ?
... wangekuwa huru kusingekuwa na wanaodai huo uhuru tena wengi wakiwa hao hao wanawake wa kiarabu ndani na nje ya nchi yao. Wapeni uhuru kama wanawake wa kiislamu katika mataifa mengine ikiwemo Tanzania walivyo huru! Pamoja na madhaifu yake mengine, kwa hili namsifu MBS kwa reformation anazozifanya hususan usawa wa kijinsia.
 
.... wawape uhuru wanawake waache kuwageuza watumwa! Mbona nchi nyingine zenye mamilioni ya waislamu - Indonesia, Pakistan, Bangladesh, Malaysia, n.k. wanawake wako huru? Au wao hawaujui uislamu?
Uhuru upi unao taka wapewe?
 
Uhuru upi unao taka wapewe?
... wanaodai huo uhuru wanajua ni uhuru upi wanaoutaka kuliko wewe na mimi tusijua madhila wanayoyapata wenyewe huko! Soma hiyo taarifa ....
=============
Saudi Arabian authorities have released three female activists who were jailed last year after campaigning to lift the driving ban and dismantle restrictive guardianship laws, several human rights organizations and news outlets report.

Conditions of the women's release remain unknown and initial reports indicate it is temporary as their trials continue to move through the criminal court. According to Hala al Dosari, a Saudi author and activist, the families were told not to share information about the release.

Rokaya Mohareb, Aziza al-Yousef and Eman al-Nafjan were arrested and detained in May, a few weeks before Saudi Crown Prince Mohammed bin Salman lifted the driving ban on women. They were initially accused of having ties to foreign intelligence agencies and labeled traitors by state media.

Human rights group ALQST announced the women's release over Twitter, adding that authorities had issued "promises that the others will be released on Sunday 31 March."

Source: NPR Choice page
 
Mada ni saudia achana na hao marekan mzee baba ,chatu kumeza mtu ni habari ila mtu kumeza chatu ni habari ya kusisimua

Kawaida tu. Hata huko USA na Ulaya miaka kadhaa iliyopita mwanamke alikuwa haruhusiwi kupiga kura au kupigiwa kura.

Dunia inakimbia balaa. Majuzi kati mahakama ya USA imesema sio kosa kaka na dada kuoana. Itafika mahali mama au baba ataoana na mwanae. Going fast to "Sodoma na Gomora"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom