Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,307
- 3,416
vip kuhusu Zito kabwe
yah pia ni mfano mzuri,binafsi nimeshawishika na hoja ya mleta mada mwanangu nami inshaalah nitamwita jina la kiafrika asilia
vip kuhusu Zito kabwe
Samahani Bufa ...wewe ndiyo huelweki kabisa !! maana unashinikiza utamaduni wako kwa wengine.. Wao huru na wao wapendavyo wewe na mengineo humu yanawahusu nini ya wenzenu? badilisheni yenu na murekebishe tamaduni zenu!!
ndo muje waeleze wengine.!
Hivi hii habari ya "Vazi la taifa kwa kamati, imla iso tamati" bado haijafikia tamati mpaka leo?
Nikiandika kuhusu hii habari hapa chini, January 2012 !
Ndiyo habari hizi hizi za umungumtu wa serikali.
Vazi la Taifa kwa kamati, imla iso tamati | Vijana FM
Kwa hiyo kwa sisi vichwa Maji unashauri tuendelee kuita watoto, shida,chozi, siambiliki, mwanambaya, tabu situmai, sijui n.k
Nimesoma article yako mkuu kuhusu vazi la taifa kuna mantiki ndani yake
Inshaalah Mkuu
Nime kusamehe tu- Iddi Amin !! nimefurahi mkuu kukuchemsha banaa!!Sijui umesoma wapi hadi unasema nashinikiza wengine tamaduni zangu.. Nimetoa pendekezo that kwanini nasisi tusianze kufuata tamaduni zetu kama watu wengine wanavyofuata zao, Saudia ni mfano tu wa kile walichokifanya kwa kuzingatia tamaduni zao
Ama ya Kiarabu.Mnaotaka mbaki na majina ya asili msiishie hapo, muwe mnavaa na kiasili, kwani hata mavazi ya sasa ni amma ya kizungu amma ya kiasia.
Any such forceful preservation renders itself devoid of whatsoever grandiose ideals it purports to preserve, from the fact that the forcefulness depicts the ideals as not organically popular enough to garner their own mass appeal.
Even a forced heaven will start to increasingly look like hell to some, from the mere fact that it is forced.
Let freedom reign above all thinly disguised pretenses at cultural fidelity and insipid mitigation against all apparent foreign corrosive effects.
If these tyrannycal countries really want to preserve their cultures, they should focus on economic and educational development, as well as on encouraging economic self preservation first, along with an organic, people based spproach at preservation.
You can't legislate culture, especially if you import boatloads of it from Hollywood, Cairo and Bollywood.
Not to mention online.
Kweli kazi tunayo. Tunazungumzia kutumia majina ya asili yetu, ili kudumisha utamaduni wetu, halafu michango kwa lugha ya kiingereza!!
Ama ya Kiarabu.
im proud of-- jakaya mrisho kikwete
Ni Jakaya Halfan Mrisho Kikwete....kajipange upya
Mimi ni mwafrika asilia na mavazi ya asili ya kabila langu hayana uhusiano wowote na mavazi ya kiarabu.Kiarabu ndio mavazi ya asili ya Afrika, kwani Uarabu umeanzia Afrika.
Mimi ni mwafrika asilia na mavazi ya asili ya kabila langu hayana uhusiano wowote na mavazi ya kiarabu.
Sijasema Afrika kuna kabila langu tu. Tafakari kabla ya kutuhumu.Afrika hakuna kabila lako tu. Fikiri kabla ya kuandika.
sisi wanuakyusa wakina mwaiboro mwakipumbu atufile atufigwegwe wenyeji wa dah mfanyeni sasa babake anaitwa bure ukiunganisha mfanyeni bure.
shout out to NDIMARA TEGAMBWAGE.,KINGUNGE NGOMBARE MWIRU,Dikembe Mutombo Mpolondo Mukamba Jean-Jacques Wamutombo,Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa Za Banga AND OTHERS