Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,286
- 10,831
developing countries like tz will have no way but to import everything, goods, services, names as well as language
Itakua kheri kubwa tukianza kutumia zaidi hayo, tumepoteza asili yetu kabisa tofauti na watu wa nchi nyingine nyingi ambao wanatumia zaidi majina yao
Sahizi Tz watu wanashindana kuwapa watoto wao majina wanayosikia kwenye tamthilia na kwenye mipira unakuta mtoto wa kiume anaitwa Angelo sijui Cristiano au Beyonce kana kwamba kuna mtu mweupe anatumia majina ya kiswahili
Kweli kabisa, kuna jirani yangu mmoja kamuita mtoto wake wa kiume " Giroud!". What is good about GIROUD that some one has to name his son after him. Nyambaff! Nikimuona mtanzania mwenye jina la kijinga jinga kama JOHN JAMES au sijui HAMISI RAJABU huwa namuona kama mtu asiye jitambua. Halafu wengi wao huwa wanakuwaga vilaza sana ukilinganisha na wenye majina ya asili.
shout out to NDIMARA TEGAMBWAGE.,KINGUNGE NGOMBARE MWIRU,Dikembe Mutombo Mpolondo Mukamba Jean-Jacques Wamutombo,Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa Za Banga AND OTHERS
uislamu bila kutumia nguvu hausongi mbele.
uislamu bila kutumia nguvu hausongi mbele.
Mleta mada nakushukuru sana umeona jambo ambalo hata mimi lilikuwa linanitatiza. Nchukizwa sana sana jinsi tunavyotumia majina ya watu wengine. Ingefaa hili liwekewe sharia na vitambulisho vya taifa visitoke hadi sharia ya majina imetoka. Ili tuttumie majina yatu ya sili kama vile kalumanzila.
here you are.....:A S thumbs_up:Kweli kabisa, kuna jirani yangu mmoja kamuita mtoto wake wa kiume " Giroud!". What is good about GIROUD that some one has to name his son after him. Nyambaff! Nikimuona mtanzania mwenye jina la kijinga jinga kama JOHN JAMES au sijui HAMISI RAJABU huwa namuona kama mtu asiye jitambua. Halafu wengi wao huwa wanakuwaga vilaza sana ukilinganisha na wenye majina ya asili.
nayapenda sana majina ya watu wa songea...