hapo na uvaaji/make up zake.... huwa cmuelewagi kabisa huyu dada, hajawahi nivutia kabisa, cjui niseme cjawahi kumwona kapendeza, uvaaji wake ni 0, make up ndio nabloo mwenyewe.....kila la kheri mdada...
jamani jana nimemcheki huyu mama kwenye kipindi chake,yani ngozi yake inataka kutoboka,ukimfinya nadhani utaondoka na ngozi, aliye
na ukaribu nae amshauri jamani. sijui anatumia jiki?