donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Wa Mwanza wakoje?Huyo atakuwa SATO wa Dar tu, wa Mwanza hawako hivyo!
Sato wa ukweli, hao wa Dar ni Tilapia wa kawaida tu, Sato OG si mchezoWa Mwanza wakoje?
Haya, sawa.Sato wa ukweli, hao wa Dar ni Tilapia wa kawaida tu, Sato OG si mchezo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]hv mkuu unafanya kazi kempisk?
Uko wap dar mkuuNawauza wakubwa kama hao.mwenye kuitaji tuchekiane
Bora umeulizahv mkuu unafanya kazi kempisk?
Ndio Mkuu.nipo darUko wap dar mkuu
Mkuu hao ni samaki wa kuchomaMimi ukinipikia samaki kwa kulipua namna hiyo kwa kweli silipi