Satanic verses

Satanic verses

Umeeeleza vizuri sana hongera kwa kuchukua muda kutupa kwa uchache nitakitafuta iko kitabu umenipa hamasa sana .

Mi sio msomaji sana ila ntakipata Kuna maktaba bubu zipo...kama kitakuwa na logic tutaunganisha dots.

Ila sioni sababu ya kumpiga na kumshambulia jamaa kabisa wamuache sema hao wenzetu wa izo nchi Wana misimamo ya hatar mno
Sio kweli
Kitabu kinaeleza baadhi za Aya za qurani ambazo mtume aliziandika kwa kusikia toka kwa Shetani.

Moja kati ya hizo zinapatikana kwenye Sura An Najm ndani ya qurani

Muhamadi akiwa kashakuwa mtume alishiriki pia kuiabudu hiyo miungu ambayo inasadikiwa kuwa ni watoto watatu wa Allah.

Sura An Najm

53:19 - Je! Mmemuona Lata na Uzza?

53:20 - Na Manaat, mwingine wa tatu

53:21 - Je! Nyinyi mnao wana wanaume na Yeye ndio awe na wanawake?

Aya nyingine ni siri yangu naogopa kuchinjwa nikiziweka zote hapa.

Rushdie akiwa mhitimu wa Islamic History PHD amazielezea hizo aya kwa ushahidi wa maandishi ya kale ya Kiislamu. Ambayo yanafichwa.

Ndio maana hawawezi kumjibu.
 
Sartanic Verses au Aya za shetani ni kitabu cha Fasihi Simulizi ambacho kimetungwa kwa kuzingatia uhalisia maisha na matukio lakini kwa kumtumia mtume Muhammad na maisha yake.

Kitabu hichi kilitoka mwaka 1988 na TATIZO kubwa ni matumizi ya lugha ya kashfa inayokufuru dini ya kiislam na ambayo mwandishi Salman Rushdie aeleza kuwa ni chanzo cha ghasia, mauaji na misimamo mikali (Islamic fundamentalism).

Moja ya sifa kuu ya mwandishi wa Fasihi SImulizi ni uwezo wa matumizi ya lugha, upangaji wa wahusika aktika simulizi hiyo , mazingira, hisia na hali. Hivyo Rushdie atumia lugha inoonekana (kwa wasomaji wa kijujuu) kama ya mzaha hivi na ndo hapo aonekana ametumia lugha ya kashfa.

Kitabu hichi kilipotoka tu waislamu duniani walilaani na hata kufikia kutishia maisha ya Rushdie na wale wote walokwa wakisaidiana nae kutayarisha kitabu hichi na hata kufikia kupigwa marufuku kuingizwa nchini India.

Mwaka mmoja baadae yaani 1989 kiongozi wa Iran Ruhollah Khomeini ndie alieamuru Salman Rushdie auawe popote alipo agizo liloitwa Fatwa ambalo lilisababisha majaribio kadha wa kadha ya kuondoa uhai wa mwandishi huyo.

Katika simulkizi ya kitabu hichi Rushdie amewatumia wahusika wawili wakuu mwanamme aitwae Gibreel na mkewe aitwae Saladin.

Sasa, katika vitabu vya kiislam hususan Quran Gibreel ni malaika mkuu ambae yu karibu na mtume Muhammad, hivyo huwezi kumfananisha au kuhusisha na matukio ambayo hayamo katika misingi ya dini ya kiislam.

Kwa mfano Saladin amfanananisha Gibreel na shetani kwamba amesababisha uokovu kutoka katika anguko la ndege walokuwa wakisafiria pale ilipotekwa nyara ikiwa angani na kuanguka lakini wao wawili kupona.

Saladin nae akakamatwa na askari wa uhamiaji ambao walinyanyasa kijinsia na kipelekea yeye kupata ukichaa. Hali hiyo ni tofauti kabisa na hali halisi kwamba Gibreel alikuwa ameoa mke.

Kosa jingine ni kumbadilisha jina Mtume Muhammad na kumwita Mahound au mjumbe na kuwa ana wapinzani wawili Hind na Baal na pia kuhusisha mtume Muhammad na danguro ambalo pia humo wamo wanawake malaya ambao watumia majina ya wake za mtume.

Na kosa la tatu linopigila msumari kwenye jeneza ni pale Salman Rushdie katika kitabu chake anapomtumia Ayesha mwanamke wa kihidhi ambae hudai kuwa apewa maono ya malaika Gibreel na kisha kwenda kuaambia wanakijiji wote waende Mecca kuhiji lakini kwa kutembea juu ya bahari ya Arabia kitendo kilichopelekea wanakijiji wote kuingia baharini na kupotea.

Hiuo ndo mwongozo wa makosa yanosemwa ya mwandishi Salman Rushdie na kitabu chake cha Aya za Shetani.
Anatakiwa afe na akatwe vipande vipande na nyama yake apewe mbwa ale
 
Sio kweli
Kitabu kinaeleza baadhi za Aya za qurani ambazo mtume aliziandika kwa kusikia toka kwa Shetani.

Moja kati ya hizo zinapatikana kwenye Sura An Najm ndani ya qurani

Muhamadi akiwa kashakuwa mtume alishiriki pia kuiabudu hiyo miungu ambayo inasadikiwa kuwa ni watoto watatu wa Allah.

Sura An Najm

53:19 - Je! Mmemuona Lata na Uzza?

53:20 - Na Manaat, mwingine wa tatu

53:21 - Je! Nyinyi mnao wana wanaume na Yeye ndio awe na wanawake?

Aya nyingine ni siri yangu naogopa kuchinjwa nikiziweka zote hapa.

Rushdie akiwa mhitimu wa Islamic History PHD amazielezea hizo aya kwa ushahidi wa maandishi ya kale ya Kiislamu. Ambayo yanafichwa.

Ndio maana hawawezi kumjibu.
Sawa weka huku Kuna privacy
 
Leta mzee kama alisikia Aya kutoka kwa shetani zilete mzee tujifunze kitu.
 
Hatari sana mbona hawapendi mambo ya kishweitaiinii sasa hizi verse z sheitwain yupi?
 
Hichi kitabu ni kama Hadithi za ndumilakuwili, ni Fiction Novel Based on Magic Realism, nothing special.
Hakuna Hoja wala Facts bali ni mawazo au Idea za kutunga na Opinions za mtu mmoja juu ya kitu fulani ni defamation na mockery sababu hakuna hoja wala facts zozote na hiyo inafanya kitabu kizima kuwa matusi tu.

Ni kama Novel za StarWars, StarTreck na Marvel au DC comicbooks lakini kuchukua mtu halisi kutoka kwenye maisha ya kweli na kumuandika unavyotaka.

Unaweza kuita ni defamation, slander, libel au mockery kwenye level za juu kabisa za kutoa na kitabu kabisa kwa nia ya entertainment. ni kama mtu akutukane tu na akudharirishe hadharani bila sababu za msingi ni lazima ukasirike.
 
Halafu huyo Jamaa ni Dhehebu gani?
 
Leta mzee kama alisikia Aya kutoka kwa shetani zilete mzee tujifunze kitu.
Hapana, sipendi kuwakwaza Waislamu kwakuwa pamoja na hii mijadala nawaheshimu sana.

Kitabu kimedhalilisha dini ya Kiislamu kabisa na kimepigwa marufuku ili kuto wafadhaisha zaidi Waislamu.

Na hakijibiki.

Ndio maana wenye dini wamekaa wamekisoma na kuamuru huyo mtu achinjwe tu basi.

Hawataki watu wenye mioyo dhaifu wakisome na kuiacha Dini.

Pamoja na uhuru wa kuongea kuna watu hawawezi kuhimili mambo ya imani.

Huyo Zikir Naik amemkimbia pamoja na Usharifu wake.

Siku nyingine nitaziweka humu kidogo kidogo kadri Mungu atakavyo nijalia.
 
Mi sipendi watu wanaomes na dini za watu...
Kila mtu si afanye yake...duniani..
Mbona mmemkamata Mfalme Zumaridi wakati alikuwa na dini yake na wafuasi tele ?

Dunia ya sasa watu wanahoji kila kitu na huwezi kuwazuia.

Ndio maana imani za giza zinajificha na kuweka siri mambo yake ili zisihojiwe na watu.
Ndio maana Freemason wanaficha mambo yao.

Kama una jambo la umma la wazi lazima watu wakuhoji.
Na unatakiwa kujibu ili watu wajiridhishe na imani yako.

Ukiona imani inaficha mambo yake yasihojiwe ujue kuna tatizo kubwa.
 
NI KITABU CHA KIPUUZI KUWAHI KUANDIKWA

KILICHOANDIKWA NA MPUMBAVU AMBAE NASIKIA HUU MUDA YUPO MAHUTUTI BAADA YA KUCHEZEA VISU VYA SHINGO
AOMBE APONE ILI ATUBU TU
Atubu nini? Nyie hua mnadhani MUNGU anapiganiwa kwa visu? Imani zingine ni za ajabu sana
 
Back
Top Bottom