Sasha Obama

nimependa wanavyovaa na kujipamba hawana makuu. ingekuwa wa kwetu bongo uzuri ni kuongeza nywele za bandia. lakini hawa watoto wako natural. Mungu awakuze wafanikiwe kama Wazazi wao. Msitelekeze watoto wakati wanawahitaji huwezi jua watakuwa nani baadaye.
Mama yake Obama na Familia yake walifanya kazi nzuri ya kulea Kijana wao japo baba yake Mzazi aliishia zake Kenya.
 
Reactions: BAK
mbongo kwanza ataambatana saa ngapi na watoto wake wakati wote wako bize na ufisadi huko...lol....
wamependeza hadi raha ila angekuwa mbongo hapo loh.........hapo anaangalia anachosoma baba yake.
 
Wazazi wao wanajitahidi sana kwa hilo na wazazi wote wawili wako karibu mno na watoto wao pamoja na majukumu mengi waliyokuwa nayo kama Rais na 1st lady na bibi yao kuishi WH kumesaidia sana katika malezi ya mabinti hawa.

 

kabla hujazungumzia hako kajarida nilipoiona hii picha nilitafsiri kitu kama hicho pia sura yake inaonyesha An earnest and sincere feeling
 
Hivi mahari inaweza kuwaje mwanangu akitaka kuoa moja wa hawa mabinti?
 
Siku Presidaa wetu akisema asimame na watoto wake sijui itakuaje,hivi anao wangapi vile?
 
Sara siyo mama mzazi wa wa baba yake Obama ila ni mama yake wa kambo. that means she is Obama's step grandmother
 
Siku Presidaa wetu akisema asimame na watoto wake sijui itakuaje,hivi anao wangapi vile?
huyu jamaa nakumbuka wkt wa kampeni 2010 alisema anao 8. sijui ni kweli??
 
...Huyo Binti Mdogo ... Ni type ya kutuoumiza fikra kwa tafakari, mambo ease, good-time all time... Can be a good social Celebrity

...Huyo Mkubwa ... Ni type ya deep thought, contemplative, Big mind ... Can be a serious Leader if she dream about it!!!
 
Dizaini hako Ka-sasha kamechoka kusimama, sasa hapo kalikuwa kanaangalia imebakia mistari mingapi hotuba iishe ili wasepe zao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…