JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,467
- 18,239
Wewe badala ya kuwaza maisha yako ya shida, foleni, ya bongo, unamuwaza binti kutoka first family ya, USA, binti anatembea na security guards, fedha aliyonayo kwa jina LA baba yake, hata samia Hana!Uyu binti amekuwa tunamuona wakizurura duniani na Rais mstaafu baraka obama
Leo nimekutana na picha zake mtandaoni ni amejizeekea kabisa
Mwili umefumuka hafanyi mazoezi km mama ake
Kifuani km tayari ameshanyonyesha watoto kadhaa
Obama yupo busy na misigara yake ameacha wahuni wanawafanyia kitu mbaya watoto
Sasha yupo addicted na SEX shule hana muda tena
Yule mwingne maria ni bangi mkononi na kupart
Nimeacha rasmi kuifatilia hii familia binti yangu alikuwa anawapenda sasa watampteza akiona picha za hawa wahuni
Wanapiga minguo ya mitumba muda wote
Hovyo
Naungana na wewe kwenye maisha ya bongo. Aisee Bongo Dar es salaam kuna Tabu unapanda daladala unakanyagwa mixer kubanana majasho na vipafyumu uchwara vinata kwenye nguo dereva kafungulia radio station kwa sauti ya juu anasikiliza uchambuzi wa mpira yaani ukimwambia jirani yako unanisukuma unakuwa umeanzisha zogo madereva wanapiga honi kama wana vichaa.Wewe badala ya kuwaza maisha yako ya shida, foleni, ya bongo, unamuwaza binti kutoka first family ya, USA, binti anatembea na security guards, fedha aliyonayo kwa jina LA baba yake, hata samia Hana!
Na wewe una watoto?! Hakuna baba anaweza kuandika kitu kama hiki. Trust me.Huyu binti amekuwa tunamuona wakizurura duniani na Rais mstaafu Baraka Obama.
Leo nimekutana na picha zake mtandaoni, ni amejizeekea kabisa.
Mwili umefumuka, hafanyi mazoezi kama mama yake.
Kifuani, kama tayari ameshanyonyesha watoto kadhaa.
Obama yupo busy na misigara yake, ameacha wahuni wanawafanyia kitu mbaya watoto.
Sasha yupo addicted na SEX shule, hana muda tena.
Yule mwingine Maria ni bangi mkononi na kupart.
Nimeacha rasmi kuifatilia hii familia, binti yangu alikuwa anawapenda, sasa watampteza akiona picha za hawa wahuni.
Wanapiga minguo ya mitumba muda wote.
Hovyo.
View attachment 2764005
Mkuu yaani viwango vya tafsiri ya maisha ya hao .hupaswi hata wajadili wanaishi dunia nyingine kabisa wazazi wanakiasi kwenye kuingilia maisha ya mtoto.sio huku wazazi wanaona sisi ni mali zao kama mashamba yao .wazungu hata kampuni ya Bamako mzazi anakuajiri na anakulipa mshahara na mnawekeana mkataba .na swala la kukurithisha mali sio haki yako tafuta vyako .ulaya mzazi anawajibu wa kukupa mahitaji na elimu ukifika miaka 21 .u are on your own nenda kaajiliwe au akupe mtaji ukapambane uwe na mali zako .ulaya baba billionaire kuandika urith akifa wanae 3 wachukue asilimia 10 tu ya mali zake 90 ziende kwenye kupanda miti afrika na kulinda hifadhi zq wanyama kawaida
Hahahah ni dunia nyingineAu anamrithisha paka au mbwa wake [emoji23]
Kwa sababu analiwaHuyu binti amekuwa tunamuona wakizurura duniani na Rais mstaafu Baraka Obama.
Leo nimekutana na picha zake mtandaoni, ni amejizeekea kabisa.
Mwili umefumuka, hafanyi mazoezi kama mama yake.
Kifuani, kama tayari ameshanyonyesha watoto kadhaa.
Obama yupo busy na misigara yake, ameacha wahuni wanawafanyia kitu mbaya watoto.
Sasha yupo addicted na SEX shule, hana muda tena.
Yule mwingine Maria ni bangi mkononi na kupart.
Nimeacha rasmi kuifatilia hii familia, binti yangu alikuwa anawapenda, sasa watampteza akiona picha za hawa wahuni.
Wanapiga minguo ya mitumba muda wote.
Hovyo.
View attachment 2764005
Waache wale Bata,Huyu binti amekuwa tunamuona wakizurura duniani na Rais mstaafu Baraka Obama.
Leo nimekutana na picha zake mtandaoni, ni amejizeekea kabisa.
Mwili umefumuka, hafanyi mazoezi kama mama yake.
Kifuani, kama tayari ameshanyonyesha watoto kadhaa.
Obama yupo busy na misigara yake, ameacha wahuni wanawafanyia kitu mbaya watoto.
Sasha yupo addicted na SEX shule, hana muda tena.
Yule mwingine Maria ni bangi mkononi na kupart.
Nimeacha rasmi kuifatilia hii familia, binti yangu alikuwa anawapenda, sasa watampteza akiona picha za hawa wahuni.
Wanapiga minguo ya mitumba muda wote.
Hovyo.
View attachment 2764005
Hayo masigara first world ni kitu cha kawaida sana.Sasha anapiga sana fegi halafu nahisi atakuwa mtu wa gambe na unga
Hawa mabinti wa Obama wote machakaramu sana. Hata Malia naye wa hovyo tu
Sawa ila madhara yako palepaleHayo masigara first world ni kitu cha kawaida sana.
Ni story kwa mwanamke wa Africa kuvuta sigara, lakini siyo story kwa wanawake wa dunia ya kwanza kuvuta fegi ni kawaida sana tena wanavuta wakiwa bado wadogo na family haina tatizo na hilo.