Tido mtoga
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 514
- 433
Naomba kueleweshwa maana am ignorant of law hivi ni halali kwa watu wanao kisha nyimbo kwa kutumia compture kulipa kodi
Huku kwetu Kaliua tumetangaziwa na serikali kuwa lazima tulipe kodi
Na huku watu ambao wanafanya hizi shughuli sio wanakuwa na vibanda u nakuta MTU kaweka compture mbele ya kibanda cha mtu kacomputer kake sasa lazima alipe elfu hamsini.