Sasa walusha nyimbo kwa kutumia compture kulipa kodi.

Tido mtoga

Tido mtoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2015
Messages
458
Likes
320
Points
80
Age
32
Tido mtoga

Tido mtoga

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2015
458 320 80
Naomba kueleweshwa maana am ignorant of law hivi ni halali kwa watu wanao kisha nyimbo kwa kutumia compture kulipa kodi
Huku kwetu Kaliua tumetangaziwa na serikali kuwa lazima tulipe kodi
Na huku watu ambao wanafanya hizi shughuli sio wanakuwa na vibanda u nakuta MTU kaweka compture mbele ya kibanda cha mtu kacomputer kake sasa lazima alipe elfu hamsini.
 
youngkato

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Messages
2,725
Likes
1,655
Points
280
youngkato

youngkato

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2014
2,725 1,655 280
Kama sirushi nyimbo je?
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,779
Likes
25,180
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,779 25,180 280
Serikali ya wanyonge ngoja iwanyonge haswa.
 
S

Salim tevez

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2016
Messages
394
Likes
181
Points
60
S

Salim tevez

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2016
394 181 60
Ndio tatizo la serikali iliyokosa ubunifu inayosubiri kuvuna tu bila kupanda
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,779
Likes
25,180
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,779 25,180 280
Walusha = warusha.
 
S

Sagungu 1914

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
828
Likes
419
Points
80
S

Sagungu 1914

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2016
828 419 80
Serikali imeishiwa pumzi by Kingunge
 
KIOO

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Messages
5,090
Likes
3,226
Points
280
KIOO

KIOO

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2013
5,090 3,226 280
Naomba kueleweshwa maana am ignorant of law hivi ni halali kwa watu wanao kisha nyimbo kwa kutumia compture kulipa kodi
Huku kwetu Kaliua tumetangaziwa na serikali kuwa lazima tulipe kodi
Na huku watu ambao wanafanya hizi shughuli sio wanakuwa na vibanda u nakuta MTU kaweka compture mbele ya kibanda cha mtu kacomputer kake sasa lazima alipe elfu hamsini.
Kura yako ya urais ulimpa nani tuanzie hapo kwanza.
 
Forum statistics

Threads 1,235,379
Members 474,523
Posts 29,220,333