Sasa wale wafia dini hebu tuelezeni huwa mnawapapatikia hawa watu Kwa sababu zipi?

Mimi sitetei Papa wala kipapa, hapa issue watu weusi tuache kuabudu hawa watu.

Ndugu zetu Congo wanakufa kinyama Jirani tu hapo, lakini mswahili yuko bize na Free Please.

Stupid.
Congo mmetuacha wenyewe, tukupambama wanasema sie tumezoea bolingo..kumbe wao wanashobo na mwarabu...lkn nini congo hapo sudani tu wanauwawa umesikia wakisema ndugu zetu acheni vita ?
 
Yesu kristo anaamini katika Uislamu wewe unamfuata yesu yupi???

Matayo 24

Neno: Bibilia Takatifu

Dalili Za Siku Za Mwisho​

24 Yesu aliondoka Hekaluni na alipokuwa akienda zake, wana funzi wakamwendea ili wakamwonyeshe majengo ya Hekalu. 2 Lakini yeye akawaambia, “Mnayaona haya yote? Nawaam
4 Yesu akawajibu, “Jihadharini, mtu asije akawadanganya.

5 Kwa maana wengi watakuja kwa jina langu wakisema, ‘Mimi ndiye Kristo’ nao watawapotosha wengi.

6 Mtasikia habari za vita na tetesi za vita, msitishike; kwa maana haya hayana budi kutokea; lakini mwisho utakuwa bado.

7 Taifa kwa taifa na nchi kwa nchi zitapigana. Kutakuwa na njaa na tetemeko la ardhi sehemu mbalim bali. 8 Haya yote yatakuwa kama mwanzo wa uchungu wa uzazi.

9 “Kisha mtasalitiwa, mtateswa na kuuawa na mtachukiwa na watu wa mataifa yote kwa ajili ya jina langu.

10 Wakati huo, wengi wataacha imani yao, watasalitiana na kuchukiana, 11 na watatokea manabii wengi wa uongo ambao watawapotosha watu.

12 Kwa sababu uovu utakuwa umeenea sana, upendo wa watu wengi utapoa.

13 Lakini mtu atakayesimama imara mpaka mwisho, ataoko lewa. 14 Na hii Habari Njema ya Ufalme itahubiriwa ulimwenguni pote, kama ushuhuda kwa mataifa yote. Ndipo mwisho utafika.
 
Kuongelea kitu usichokijua ni kosa kubwa kwangu na kwa muislam yeyote anayeijua dini hayo ndo mafundisho nakupa, na kwangu njoo na kitu unachokijua ktk dini niko vzr sihitaji porojo na nadharia za uongo
mkuu huwezi niambia unaelewa kwa kusoma kitabu usicho jua lugha yake mkuu..
 

Matayo 24

Neno: Bibilia Takatifu

Dalili Za Siku Za Mwisho​

24 Yesu aliondoka Hekaluni na alipokuwa akienda zake, wana funzi wakamwendea ili wakamwonyeshe majengo ya Hekalu. 2 Lakini yeye akawaambia, “Mnayaona haya yote? Nawaam
4 Yesu akawajibu, “Jihadharini, mtu asije akawadanganya.

5 Kwa maana wengi watakuja kwa jina langu wakisema, ‘Mimi ndiye Kristo’ nao watawapotosha wengi.

6 Mtasikia habari za vita na tetesi za vita, msitishike; kwa maana haya hayana budi kutokea; lakini mwisho utakuwa bado.

7 Taifa kwa taifa na nchi kwa nchi zitapigana. Kutakuwa na njaa na tetemeko la ardhi sehemu mbalim bali. 8 Haya yote yatakuwa kama mwanzo wa uchungu wa uzazi.

9 “Kisha mtasalitiwa, mtateswa na kuuawa na mtachukiwa na watu wa mataifa yote kwa ajili ya jina langu.

10 Wakati huo, wengi wataacha imani yao, watasalitiana na kuchukiana, 11 na watatokea manabii wengi wa uongo ambao watawapotosha watu.

12 Kwa sababu uovu utakuwa umeenea sana, upendo wa watu wengi utapoa.

13 Lakini mtu atakayesimama imara mpaka mwisho, ataoko lewa. 14 Na hii Habari Njema ya Ufalme itahubiriwa ulimwenguni pote, kama ushuhuda kwa mataifa yote. Ndipo mwisho utafika.
Ukristo na Uislamu wote wanamchukulia Yesu kuwa nabii wa dini yao. Hata hivyo, ingawa mafundisho ya Yesu yamepotea kutokana na imani na desturi za Wakristo wengi (ona makala yangu, “Kristo” yuko wapi katika “Ukristo?”), mafundisho hayo hayo yanaheshimiwa na kuonekana wazi katika Uislamu.

Tuangalie mifano fulani.

Muonekano
1.Yesu alikuwa na ndevu, kama walivyo Waislamu wengi, lakini Wakristo wachache tu.

2.Yesu alivaa kwa kiasi. Tukifumba macho na kutengeneza picha akilini, tunaona mavazi yanayotiririka, kutoka kwenye viganja vya mikono hadi vifundoni—kama vile kanzu za Kiarabu zilizolegea na shalwar kameez za India-Pakistani, mfano wa Waislamu wa maeneo hayo. Kile ambacho hatufikirii ni mavazi ya uchi au ya kuvutia ambayo yanapatikana kila mahali katika tamaduni za Kikristo.

3.Mama wa Yesu alifunika nywele zake, na mazoea aya yalidumishwa kati ya wanawake Wakristo wa Nchi Takatifu hadi katikati ya karne ya ishirini. Tena, hii ni desturi ilidumishwa kati ya Waislamu na Wayahudi wa Kiorthodoksi (ambao Yesu alikuwa mmoja wao), lakini sio kati ya Wakristo wa kisasa.

Adabu
1.Yesu alizingatia wokovu na aliepuka mapambo. Je, ni Wakristo wangapi "wenye haki" wanaofaa wasifu huu "Sio Jumapili tu"? Sasa ni Waislamu wangapi "swala tano kwa siku, kila siku ya mwaka" ngapi?

2.Yesu alizungumza kwa unyenyekevu na wema. Hakuonyesha "majivuno." Tunapofikiria hotuba zake, hatufikirii tamthilia. Alikuwa mtu rahisi anayejulikana kwa ubora na ukweli. Ni wahubiri wangapi na wainjilisti wangapi wanafuata mfano huu?

3.Yesu aliwafundisha wanafunzi wake kutoa salamu ya “Amani” (Luka 10:5), kisha akaweka mfano: “Amani iwe nanyi” (Luka 24:36, Yoh 20:19, Yoh. 20:26). Nani anaendeleza tabia hii hadi leo, Wakristo au Waislamu? “Amani iwe nanyi” ndiyo maana ya salamu ya Waislamu, “Assalam alaikum.” Cha kufurahisha zaidi, tunapata salamu hii katika Uyahudi pia (Mwanzo 43:23, Hesabu 6:26, Waamuzi 6:23, Samweli I 1:17 na Samweli I 25:6).

Matendo ya Kidini
1.Yesu alitahiriwa (Luka 2:21). Paulo alifundisha kuwa haikuwa lazima (Rum 4:11 na Gal 5:2). Waislamu wanaamini hivyo.

2.Yesu hakula nyama ya nguruwe, kulingana na sheria ya Agano la Kale (Mambo ya Walawi 11:7 na Kumbukumbu ya Torati 14:8). Waislamu pia wanaamini nyama ya nguruwe ni haramu. Wakristo … vema, unapata wazo.

3.Yesu hakutoa au kuchukua riba, kwa kufuata katazo la Agano la Kale (Kutoka 22:25). Riba ni haramu katika Agano la Kale na Quran, kama ilivyo haramishwa katika dini ya Yesu. Uchumi wa nchi nyingi za Kikristo, hata hivyo, umeundwa juu ya riba.

4.Yesu hakuzini, na alijiepusha na mahusiano ya nje ya ndoa na wanawake. Sasa, suala hili linaenea kwa angalau kuwasiliana kimwili na jinsia tofauti. Isipokuwa kufanya taratibu za kidini na kusaidia wale wenye uhitaji, Yesu hakuwahi hata kumgusa mwanamke mwingine isipokuwa mama yake. Wayahudi wa Kiorthodoksi wenye kufuata madhubuti wanadumisha mazoea aya hadi leo katika kushika sheria ya Agano la Kale. Kadhalika, Waislamu wanaofanya mazoea aya hawapeani hata mikono kati ya jinsia tofauti. Je, Mkristo anaweza “kumkumbatia jirani yako” na “kumbusu bibi harusi” mikusanyiko hufanya dai lilo hilo?

Mazoea ya Ibada
1.Yesu alijitakasa kwa kunawa kabla ya maombi, kama ilivyokuwa desturi ya manabii wacha mungu walio tangulia (angalia Kutoka 40:31-32 kuhusiana na Musa na Haruni), na kama ilivyo desturi ya Waislamu.

2.Yesu aliomba kwa kusujudu (Mathayo 26:39), kama manabii wengine (angalia Nehemia 8:6 kuhusu Ezra na watu, Joshua 5:14 kwa Yoshua, Mwanzo 17:3 na 24:52 kwa Ibrahimu, Kutoka. 34:8 na Hesabu 20:6 kwa Musa na Haruni). Nani anaswali hivyo, Wakristo au Waislamu?

3.Yesu alifunga kwa zaidi ya mwezi mmoja kwa wakati mmoja (Mathayo 4:2 na Luka 4:2), kama walivyofanya wacha Mungu kabla yake (Kutoka 34:28, Wafalme I 19:8), na kama wafanyavyo Waislamu katika mwaka mfungo wa mwezi wa Ramadhani.

4.Yesu alihiji kwa kusudi la kuabudu, kama Wayahudi wote wa Kiorthodoksi wanavyotamani kufanya. Hija ya Waislamu kwenda Makka inajulikana sana, na inarejelewa katika Biblia (angalia Amri ya Kwanza na ya Mwisho).

Mambo ya Imani
1.Yesu alifundisha umoja wa Mungu (Marko 12:29-30, Mathayo 22:37 na Luka 10:27), kama inavyoonyeshwa katika amri ya kwanza (Kutoka 20:3). Hakuna mahali alipotangaza Utatu.

2.Yesu alijitangaza kuwa mtu na nabii wa Mungu (tazama hapo juu), na hakuna popote alidai umungu au uwana wa kimungu. Je, ni imani gani ambayo hoja zilizo hapo juu zinaendana zaidi na—kanuni ya Utatu au imani kamili ya Mungu mmoja ya Uislamu?

Kwa ufupi, Waislamu wanaonekana kuwa “Watu wa ajabu wa Yesu” wa siku hizi, ikiwa kwa usemi huo tunamaanisha wale wanaoishi kwa sheria za Mungu na mfano wa Yesu.
 
Hizo ni roho tu za kibinadamu ni kama mzungu anavyombagua vinicius Junior.
Dini ililetwa kwa wote thats why kuna wachina wanaijua dini na wanapractice kuliko waarabu na Allah amesema
"Hakika nimewaumbeni mataifa na makabila mbalimbali ili tu mjuane, Ila aliye bora na aliye karibu na Allah ni mtu mchamungu...... "
Angalia matendo ya binadamu wote duniani yanafanana, waislamu wa kweli tabia zao zinafanana, waislamu wa mchongo pia wanafanana na hata wanaopinga uislamu wanafanana kwa hoja na chuki zao.
Nakuusia ingia kwenye dini ya haki dokta Matola
Dini ya haki hii ya kujitoa mhanga na kuuwa watu hovyo kisa kumpigania allah?
 
Mzee we kiingereza unakijua???
Kingereza nakisomea wapi mzee wewe unabisha kwa ujinga tu ila hujui hata kusoma kitabu ulicholetewa kuna mafundisho mengi sana yapo huko kwa mfano unajua aya inayozungumzia anasa za miti ya pombe na mabikra 70 ..je unajua aya inayotaja jambo la jihadi vita ya kuuwa magafiri wote..
Hujui sasa kutokujua usiseme kwamba haipo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom