Yesu kristo anaamini katika Uislamu wewe unamfuata yesu yupi???Yaani ukiona dini unayoifata haimini katika Yesu Kristo basi unapoteza muda wako bure
Yesu kristo anaamini katika Uislamu wewe unamfuata yesu yupi???Yaani ukiona dini unayoifata haimini katika Yesu Kristo basi unapoteza muda wako bure
Congo mmetuacha wenyewe, tukupambama wanasema sie tumezoea bolingo..kumbe wao wanashobo na mwarabu...lkn nini congo hapo sudani tu wanauwawa umesikia wakisema ndugu zetu acheni vita ?Mimi sitetei Papa wala kipapa, hapa issue watu weusi tuache kuabudu hawa watu.
Ndugu zetu Congo wanakufa kinyama Jirani tu hapo, lakini mswahili yuko bize na Free Please.
Stupid.
Urongo huo shehe wangu.🤣🤣🤣kumbuka hiyo ni futari kulingana na mafundisho yao hata mtu mweusi kwao ni qhafirii hivyo huyo mama amepata dhawabu kumyima qhafiri mweusi maji 😨😨
Yesu kristo anaamini katika Uislamu wewe unamfuata yesu yupi???
Uislam upi huo anao uamini??? Ulianzishwa na nani?? Na kuna ushahidi gani aliuamini?Yesu kristo anaamini katika Uislamu wewe unamfuata yesu yupi???
mkuu huwezi niambia unaelewa kwa kusoma kitabu usicho jua lugha yake mkuu..Kuongelea kitu usichokijua ni kosa kubwa kwangu na kwa muislam yeyote anayeijua dini hayo ndo mafundisho nakupa, na kwangu njoo na kitu unachokijua ktk dini niko vzr sihitaji porojo na nadharia za uongo
Urongo gani? we unabisha na kitu hukijui mbona siawaelewi aseeUrongo huo shehe wangu.
Mzee we kiingereza unakijua???mkuu huwezi niambia unaelewa kwa kusoma kitabu usicho jua lugha yake mkuu..
Huwa najiulizaga sana. Mtu anatoa wapi ujasiri anadownload disturbing vids anaziangalia na kuanza kuzisambaza.... Sifunguagi hizi vids nikishasoma heading tuNaam, umeniita?
Tatizo nini?
Alwaz, RitzHebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu.
Jitafakari.
Cc: FaizaFoxy MK254 THE BIG SHOW
Ukristo na Uislamu wote wanamchukulia Yesu kuwa nabii wa dini yao. Hata hivyo, ingawa mafundisho ya Yesu yamepotea kutokana na imani na desturi za Wakristo wengi (ona makala yangu, “Kristo” yuko wapi katika “Ukristo?”), mafundisho hayo hayo yanaheshimiwa na kuonekana wazi katika Uislamu.
Matayo 24
Neno: Bibilia Takatifu
Dalili Za Siku Za Mwisho
24 Yesu aliondoka Hekaluni na alipokuwa akienda zake, wana funzi wakamwendea ili wakamwonyeshe majengo ya Hekalu. 2 Lakini yeye akawaambia, “Mnayaona haya yote? Nawaam
4 Yesu akawajibu, “Jihadharini, mtu asije akawadanganya.
5 Kwa maana wengi watakuja kwa jina langu wakisema, ‘Mimi ndiye Kristo’ nao watawapotosha wengi.
6 Mtasikia habari za vita na tetesi za vita, msitishike; kwa maana haya hayana budi kutokea; lakini mwisho utakuwa bado.
7 Taifa kwa taifa na nchi kwa nchi zitapigana. Kutakuwa na njaa na tetemeko la ardhi sehemu mbalim bali. 8 Haya yote yatakuwa kama mwanzo wa uchungu wa uzazi.
9 “Kisha mtasalitiwa, mtateswa na kuuawa na mtachukiwa na watu wa mataifa yote kwa ajili ya jina langu.
10 Wakati huo, wengi wataacha imani yao, watasalitiana na kuchukiana, 11 na watatokea manabii wengi wa uongo ambao watawapotosha watu.
12 Kwa sababu uovu utakuwa umeenea sana, upendo wa watu wengi utapoa.
13 Lakini mtu atakayesimama imara mpaka mwisho, ataoko lewa. 14 Na hii Habari Njema ya Ufalme itahubiriwa ulimwenguni pote, kama ushuhuda kwa mataifa yote. Ndipo mwisho utafika.
Waarabu wanaona mtu mweusi bado ni mtumwa.Roho mbaya haina dini,walakabila,wala utaifa. Ni tabia ya mtu BINAFSI
Dini ya haki hii ya kujitoa mhanga na kuuwa watu hovyo kisa kumpigania allah?Hizo ni roho tu za kibinadamu ni kama mzungu anavyombagua vinicius Junior.
Dini ililetwa kwa wote thats why kuna wachina wanaijua dini na wanapractice kuliko waarabu na Allah amesema
"Hakika nimewaumbeni mataifa na makabila mbalimbali ili tu mjuane, Ila aliye bora na aliye karibu na Allah ni mtu mchamungu...... "
Angalia matendo ya binadamu wote duniani yanafanana, waislamu wa kweli tabia zao zinafanana, waislamu wa mchongo pia wanafanana na hata wanaopinga uislamu wanafanana kwa hoja na chuki zao.
Nakuusia ingia kwenye dini ya haki dokta Matola
Halafu ukiwaona wanaandamana kubagua Wakristo huku wamevaa hayo madera/kanzu
View: https://www.youtube.com/watch?v=pcwvILodCKM
Kwaio hapo huoni tatzo punguza udiniNaam, umeniita?
Tatizo nini?
Kingereza nakisomea wapi mzee wewe unabisha kwa ujinga tu ila hujui hata kusoma kitabu ulicholetewa kuna mafundisho mengi sana yapo huko kwa mfano unajua aya inayozungumzia anasa za miti ya pombe na mabikra 70 ..je unajua aya inayotaja jambo la jihadi vita ya kuuwa magafiri wote..Mzee we kiingereza unakijua???
Siku zote unaanza na WA nyumbani mwako,Hebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu.
Jitafakari.
Cc: FaizaFoxy MK254 THE BIG SHOW