Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,230
Hizo kucha zenu ndefuuu kwenye mikono yenu haziwazuii kweli kufanya kazi au ndiyo tutaishia kula Burger badala ya ugali kwa bamia? Nguo zinafulika kweli au ndiyo kazi za House Girl? Maana girl friend wangu wa kitambo pande za Survey pale Milimani, yeye mpaka za ndani alikuwa anamtupia Beki tatu. I offend no one pls.