`Sasa Unaingia Mkoa wa Mara Be Strong`

`Sasa Unaingia Mkoa wa Mara Be Strong`

Jambo hili hunishangaza,ukiingia mikoa yote ,utaona ubao, KARIBU MKOA WA MOROGORO,IRINGA,DAR,MBEYA NK. Lakini mara ahhh "SASA UNAINGIA MKOA WA MARA"

Na usisahau ndio mkoa wenye Police barrier nyingi Tanzania with maximum heavy weapons.
 
Nimefuatilia kwa makini sana ila ukweli vibao vyote na Mikoa yote vimeandikwa namna hiyo sio Mara tu.
 
Miaka ya Nyuma Tarime kuna Jamaa aliwahi kupandisha Bendera ya Chui akidai Tarime iwe Nchi Palichimbika,hapakutosha.
 
Na usisahau ndio mkoa wenye Police barrier nyingi Tanzania with maximum heavy weapons.

Vp kagera umeutembelea ukimalizia msitu wa biharamuro, unaamba pembezoni mwa nyakanazi, kuitafuta bukoba, kama unaenda karagwe, karagwe kuelekea ngara kupitia msitu wa burigi mpaka. Benako
 
Wakuu nimepata taarifa kwamba kile kibao chetu pale maeneo ya mbugani"SASA UNAINGIA MKOA WA MARA"eti sasa kitafutwa rasmi maana kinawaogopesha wageni.

Mie hiki kibao kinanipaga mzuka kichizi. Hua nikifikaga maeneo hayo tuu basi hamu ya "KICHURI" lazima ije hata kama nikiwa usingizini najua kabisa sasa naingia eneo la ukakamavu adabu na utii!

Mie sikubaliani na mpango huo aise, maana huu ni mpango wa kutuletea "PANYA ROAD" mkoani MARA.
 
We!we!we!THUBUTU ZAO!wakifute???
TUTAANDAMANA MCHANA KWEUPEEEE!!!
 
Jf raha sana karibuni sana hapa watu wa kanda maalum Excel charming lady Mwita Maranya Muraa ocampo four and the likes. kwaheri mkoa wa Mwanza sasa unaingia mkoa Mara. aha aha aha aha.

Kiukweli mkuu wakifuta hayo maneno(SASA UNAINGIA MKOA WA MARA)watafanya kosa kubwa sana!!!!
Hiyo kitu inaletaga mzuka sana,ata ukiwa kwenye MUSOMA EXPRESS unatamani ushuke ili upige saluti mbele ya kibao kisha ndio uendelee na safari!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,lile bango la Ngorongoro/Serengeti? haiwezekani,hyo ni moja ya utambulisho wa Mara.
Yaani wanataka watuambia karibu mkoa wa Mara,huo utani uliopitiliza!
 
Watakaokitoa watakuwa hawajitaki aisee maana ht askari wanaujua vizuri mziki wake.
Source ni jinsi gari yao ilivyo.

Watakaokitoa labda waende usiku wa manane. Mi nikiwa nasafiri nikiona tu hicho kibao nakaa attention maana ht makonda huwa wanachange ghafla ukizubaa wanakupitiliza tu. Ni hakuna kuremba,ubabe mwanzo mwisho.
 
Back
Top Bottom