`Sasa Unaingia Mkoa wa Mara Be Strong`

`Sasa Unaingia Mkoa wa Mara Be Strong`

Basi wakitoa hicho kibao wakataze na vyombo vya habari kurusha habari za mara haha
 
Jf raha sana karibuni sana hapa watu wa kanda maalum Excel charming lady Mwita Maranya Muraa ocampo four and the likes. kwaheri mkoa wa Mwanza sasa unaingia mkoa Mara. aha aha aha aha.

Wafute waone tutakavyo waghecha.... Ni kama kuzuia tohara kwa wanawake, watatahiri hata usiku wa manane....

Mbrrrrraaaakkkkeeeee!!!!

Wakikitoa tunaanzisha kanchi ketu... Kama enzi zileee "Jamhuri ya watu w chui"
 
Last edited by a moderator:
Wakuu nimepata taarifa kwamba kile kibao chetu pale maeneo ya mbugani"SASA UNAINGIA MKOA WA MARA"eti sasa kitafutwa rasmi maana kinawaogopesha wageni.

Mie hiki kibao kinanipaga mzuka kichizi.Hua nikifikaga maeneo hayo tuu basi hamu ya "KICHURI"lazima ije ata kama nikiwa usingizini najua kabisa sasa naingia eneo la ukakamavu adabu na uti!

Mie sikubaliani na mpango huo aise,maana huu ni mpango wa kutuletea "PANYA ROAD" mkoani MARA.

Kwa wageni wanaotumia usafiri wa basi tickets zao hazisemi 'From ... To Mara'? Au hata wale wa usafiri binafsi wanapopanga na kuanza safari hawajui kama wanaenda Mara au watapita Mara?!
 
Mara kila kitu ni ukakamavu! Ukiwa legelege inakula kwako, hata wamama wao kwenye ligwaride ni ukakamavu tu! Kama Wewe unashindia chips na maji mmama Wa ki-Kiroba hutamfikisha, maana shughuli yao ni pevu!! Watamu haoooooo!!! SHIKAMOO MARA!
 
Wakuu nimepata taarifa kwamba kile kibao chetu pale maeneo ya mbugani"SASA UNAINGIA MKOA WA MARA"eti sasa kitafutwa rasmi maana kinawaogopesha wageni
Mi nashauri wa improve kidogo tu hayo maandishi kwa kuongezea maneno kama 'Be strong' 'Be aware of..'

Hapo italeta mzuka zaidi.
 
Wakuu nimepata taarifa kwamba kile kibao chetu pale maeneo ya mbugani"SASA UNAINGIA MKOA WA MARA"eti sasa kitafutwa rasmi maana kinawaogopesha wageni.

Mie hiki kibao kinanipaga mzuka kichizi.Hua nikifikaga maeneo hayo tuu basi hamu ya "KICHURI"lazima ije ata kama nikiwa usingizini najua kabisa sasa naingia eneo la ukakamavu adabu na uti!

Mie sikubaliani na mpango huo aise,maana huu ni mpango wa kutuletea "PANYA ROAD" mkoani MARA.

Kumbe habari yenyewe ni ya kusikia tuu? Leta source ya habari yako....au umeisikia kutoka kwa Mateja?
 
Back
Top Bottom