`Sasa Unaingia Mkoa wa Mara Be Strong`

`Sasa Unaingia Mkoa wa Mara Be Strong`

Si wale wa Dar waliokua wanailaza midume million2 ya Dar saa11.45 jioni!!!
Kwahiyo unataka kusema Generali Mwamunyange, IGP Mango, Chagonja, Kova, JK, Pinda, wanajeshi na polisi wote wa kiume ni miongoni mwa hao mil 2?!
 
eti wanaume wa mara hawana akili?fanya utafiti weye.watu wa mara hawapendi promo!
 
Kwahiyo unataka kusema Generali Mwamunyange, IGP Mango, Chagonja, Kova, JK, Pinda, wanajeshi na polisi wote wa kiume ni miongoni mwa hao mil 2?!
Ikiwa ushahidi utaonesha kwamba walikuwepo Dar wakati wa hako kakikundi ka wahuni kakitetemesha jiji!!
 
Copenhagen weye ni p.u.m.b.a.f.u kabisa. Nyamboto
 
Ikiwa ushahidi utaonesha kwamba walikuwepo Dar wakati wa hako kakikundi ka wahuni kakitetemesha jiji!!
Wote walikuwepo mkuu na mpaka sasa bado wapo isipokuwa Chagonja ambaye alitoka kidogo baada ya lile tukio kwenda Amboni kurekodi ile filamu ya Panya wa Mapango ya Amboni.
 
Wote walikuwepo mkuu na mpaka sasa bado wapo isipokuwa Chagonja ambaye alitoka kidogo baada ya lile tukio kwenda Amboni kurekodi ile filamu ya Panya wa Mapango ya Amboni.
So wote walilazwa mapema lol,ni sheeedah!!!!
 
Ukishakunywa viroba unaleta pumba zako hspa
 
Kule mtu akijukanyaga kwa bahati mbaya huambiwi pole wala samshani.....hatuna muda wa kupoteza mura
 
Mara 1 hyo.
Cku 1 nkiwa skul golden ridge high school ya geita tukawa 2napga xtor za makabla.Sasa wakuu jamaa m1 kaniulza umetoka wap mkal nikamjbu Mara.
Chakuchekesha zaid jamaa kaniulza tena "et jamaa naskia ukfka mara unakutana na kibao kmeandkwa BE STRONG B'COZ U ARE MARA NOW"
 
kimeshabadilishwa?
naomba mrejesho...
 
Kipindi gani kizuri kutembelea mara? Ningependa kuwajua wakurwa mubashara....
 
Ndio maana wanawake kutoka mara wana masaburi magumu....
 
Back
Top Bottom