`Sasa Unaingia Mkoa wa Mara Be Strong`

`Sasa Unaingia Mkoa wa Mara Be Strong`

Hili ni bango lilipo Barabara Kuu mpakani mwa mkoa wa Mara na Mwanza linasomeka `Sasa unaingia Mkoa wa Mara be Strong`

Hili bango linatokana na ukweli kuwa watu wa Mkoa wa Mara hawanaga kumbembeleza saana na kudeal nao basi yakupasa uwe strong na ndio maana unaombwa kua strong unapoingia Mkoa wa Mara.
Kwa trend hii tunayoenda nayo Tanzania kwa sasa nadhani kuna haja sasa ya kuweka Mabango Mipakani mwa Nchi yetu yatakayosomeka `Sasa Unaingia Tanzania Be Strong`
 
Bado sijajua sababu ni nini ila ningependelea kufahamu ni kwanini ukiwa unakaribia mkoani mara ukitokea mwanza maeneo ya usukumani ukiwa unaingia mkoa wa mara unakutana na tangazo limeandikwa sijui kama manisipaa au serikali limeandikwaaaa.
"SASA UNAINGIA MKOA MARA"

lakini ukienda mikoa mingine unasikia karibu mwanza,karibu kagera,karibu shinyanga na mikoa mingine yote ni karibu lakini ukiingia mkoani mara
"SASA UNAINGIA MKOANI MARA" ni kwanini tunasema sasa unaingia kwa wale wanaofahamu historia ya mkoa wa mara mpka panaandikwa sasa hebu tusaidiane kupeana info ni kwanini
 
mkuu upo mbali sana,kifupi upo nje ya nchi..
 
SASA UNAINGIA NEWALA ZINGATIA USAFI/SASA UNAINGIA TARIME BE STRONG kawaida sana
 
Mimi nachojua ubabe ni kwa kutafuta hela tu na kuzimiliki kwa wingi huo ndio uwanaume. Huna hela na maisha yako duni unajiita mbabe na mwanaume ndio walivyo wanaume wengi wa Mara hovyoo kabisa miili mikubwa hamna kitu kichwani.
Unauhakika na unachokisema?
 
Back
Top Bottom