robert sendabishaka
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 3,144
- 3,338
habari kanjanja hii, majambazi wameoneshwa kuwa na uwezo mkubwa sana kuzidi jeshi letu. wahariri danganyeni lakini si kwa kiwango hiki. yaani zaidi ya asubuhi hadi jioni/usiku kucha vyuma vinatema cheche tu kupambana majambazi 3. watalii wataogopa kuja nchini kwa hbr hizi.