Masaa hewa!!hahahahaaa!!!mkuu umewaumbua.Wabongo yaani kila kitu fake fake tu sijui tumelaaniwa!!
Sasa kama hapo kwenye mawe (panapoitwa mapango) yametumika masaa 13 kwenye mapango ya Amboni Tanga si watatumia masaa 800.Muda sahihi (12+13+14+16)÷4=13.75hrs
Ni mapambano ya mwendo kasi, majambazi ya mwendo kasi vs..., hilo tukio ama kweli kazi imefanyika!!Sasa kama hapo kwenye mawe (panapoitwa mapango) yametumika masaa 13 kwenye mapango ya Amboni Tanga si watatumia masaa 800.
inawezekana walikuwa wanaishiwa risasi kisha wanatuma mtu stoo akalete anatumia masaa mawili anakuja kisha zinapigwa nusu saa risasi zinaisha tena mtu anakimbia stoo akirudi kummekucha.Masaa hewa!!
Umesahau hata sisi humu ni wachangiaji HEWATanzania ndo nchi pekee dunian yenye maajabu yasiyopatikana kwingine kokote. Wafanyakazi hewa, wanafunzi hewa, barabara hewa, mishahara hewa mpaka masaa hewa tunayo hapa kwetu. Karibuni wageni
hii kweli ni zaidi ya habari hata mm nimeshindwa kuelewa nani ni nani hapa