Ukiishakuwa unamiliki 85%, haiwezekani bado ukamiliki kila kitu, serikali inamiliki miundombinu, halafu mabasi yanamilikiwa kwa ubia.Wamechukua Yard zote ile ya Mbagala itakuwa stand kuu ya mwendokasi.
Mabasi yote mmiliki ni serikali. Mifumo yote mmliki ni serikali
Ukiishakuwa unamiliki 85%, haiwezekani bado ukamiliki kila kitu, serikali inamiliki miundombinu, halafu mabasi yanamilikiwa kwa ubia.
P
Taratibu.Warudishe nauli 500
Mbona inakusanya hadi parking fee kwa ufanisi kupitia mawakala!sijui kwanini watu wanashabikia umiliki wa serikali? Serikali haina historia ya kufanya biashara kwa ufanisi.. Mtakuja kushuhudia siku moja
Tunarudia makosa ya nyerere,wabongo si watendaji blah blah nyingi ndio waliobugia mashirika ya soma ule (SU) leo twarudi kulekule.Heri angekabidhiwa mbia Wa nje aendeshe atoe huduma boraMagufuli simuungi mkono kwenye baadhi ya mambo ila sehemu nyingi tuko pamoja...
Usafiri wa umma inabidi uendeshwe na serikali maana ni sehemu ya Huduma za serikali.
Umesema wakalaMbona inakusanya hadi parking fee kwa ufanisi kupitia mawakala!