Sasa rasmi UDART 85% ni hisa za Serikali. Simon Group hoi

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,072
18,258
Kutokana na taarifa ya wizara ya fedha Serikali imeongeza umiliki wa shirika la mabasi ya mwendo kasi (Udart) hadi kufikia 85%.

Kumbuka wakati wa Rais Mstaafu Kikwete Simon Group chini ya kisena, waliwahi kusema wanamiliki 100%.

Kisena akitoka gerezani itabidi akalime pamba huko Simiyu.

20191124_220930.jpeg
 
Udart ni kifupi cha uda rapit transit


Wakati dart ni kifupi cha Dar es salaam. RAPID transit na ni agency ya serikali.
20191124_222349.jpeg
 
Magufuli simuungi mkono kwenye baadhi ya mambo ila sehemu nyingi tuko pamoja...

Usafiri wa umma inabidi uendeshwe na serikali maana ni sehemu ya Huduma za serikali.
Tunarudia makosa ya nyerere,wabongo si watendaji blah blah nyingi ndio waliobugia mashirika ya soma ule (SU) leo twarudi kulekule.Heri angekabidhiwa mbia Wa nje aendeshe atoe huduma bora
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom